Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kuna watu wameajiriwa kwaajili ya kazi hiyoMtu mzima unalewa na kuanza kucheza na mtoto wa mika 6 ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wameajiriwa kwaajili ya kazi hiyoMtu mzima unalewa na kuanza kucheza na mtoto wa mika 6 ni sawa?
KUna mzee mwenzangu alikuja huko kwenye mradi wa kujenga barabara akapata rafiki wa kike....siku hiyo wako ndani mlango ukagongwa ,,,,,kufungua nje kuna kundi kubwa la watu pamoja na shehe ...ubani n.k.,,,,,ikafungwa ndoa ya ghafla......Mim Police Zanzibar ujinga huu upo sana Tena wazee wanakuja kuhonga ela ili kijana ashikiliwe
Hii naiepuka sanaSi unajua zile anko anko nyingi mara unakula kitu na yeye unampa ghafla chali
Sasa mpk a nampeleka ghetto si kamuamini??Juzi kati kuna jamaa alimpeleka demu ghetto kwake so wakafanya yao kufika asubuhi jamaa anamwambia demu unaondoka saa ngapi? demu anamwambia niondoke niende wapi?
jamaa ndio ikawa kaoa hivyo bila ridhaa yake😃
Hii ipo siku nyingi sana sema approach ndo zinabadilika. Enzi nikiwa kijana nilikutana na hizi case, kuna mmoja tulihamia mji mmoja huko mkoani ndani ndani mm na bro wangu, tuseme kamji kadogo tuu, kiasi kwamba ukifika mgeni ndani ya siku 2 au 3 mji wote watajua kuwa kuna mgeni kaja. Kipindi hicho nimemaliza form 6 najiandaa kwenda chuo. Kwa asili mimi mchapakazi sana kazi za mikono. Ile nimekaa mwezi mmoja tu jina langu likawa linavuma sana pale kitaa. Kwanza kipindi kile miaka ya 2000s, ukimaliza form 6 na umefaulu kwenda chuo ni CV kubwa sana huko interior. Pili ninavyojishughulisha kazi watu kama hawaamini vile. Nilipata mitihani mikubwa sikuamini macho yangu. Kuna case mabinti wanne walipigana kwa ajili yangu kila mmoja anasema mm mchumba wake. Na mmoja akatengeneza mazingira akawa anaandika barua ambayo kila mtuatakayesoma lazima ajue mm nimemchumbia na nimemla, wakati hata kukutana tu sehemu hatujawahi, na wala sijawahi kumtamkia chochote, isipokuwa baba yake na kaka yangu walikuwa marafiki, so mimi nilikuwa nafika sana kwao nikitumwa na bro. Ilikuwa case ngumu hadi bro na shem walikataa kuamini kama nasingiziwa. Ila Mungu mkubwa baada ya muda kesi kuenenda ikaonekana kweli nimeonewa.Hii kweli kabisa hii michezo ipo na hasa wakikuona mwanaume upo mwenyewe unavisent vya kubadilisha mboga, gheto lipo vizuri ukiwa na kausafiri hata pikipiki, uwe makini sana usizani labda unapendwa au wewe HB kumbe wenzako wanakuwimda na tena wengine wana washirikisha na wazazi.
Siku hizi mabinti na wazazi wao hawana aibu mbele ya fedha na ukijaribu useme upige jua ndio umenasa na huchomoki hapo na wengine hutumia hata ndumba.
Na walioko kwenye ndoa hakikisheni mnagegedana mara kwa mara hii itazuia kuchepukaSasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume .
Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao.
Ukitaka kutoa msaada Katoe vituo Vya watoto yatima.
Pia usitembee na mwanamke ambaye unakaa nae mtaa mmoja hata awe mzuri Kama malaika
Sasa Wanaume mnatafutwa kuharibiwa maisha kwa kila namna.
Na wewe usimpigie Mwanamke wala kumtafuta tofauti na issue za Kazi na kibiashara .
Jaribu kuwa smart and play smart.
Kabisa ni kuwa makini.Zama za Sasa mabinti,Wana shirikiana na mama zao ili kuwanasa vijana wawaoe..
HakikaKanuni yangu ya kwanza ili nifanye mazoea na mtoto ni lazima niwajue Baba na Mama yake ni watu wenye akili za namna gani. Tabia huwa hazijifichi.
Nikiwa ugenini ndio kabisa hata Tiffa Dangote akacheze huko kwa Baba ake Simba la Madangote.
All in all kumuomba Mungu tu. Wanadamu wakiunda kamati ya kudili na wewe, Only God can save you.
Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume .
Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao.
Ukitaka kutoa msaada Katoe vituo Vya watoto yatima.
Pia usitembee na mwanamke ambaye unakaa nae mtaa mmoja hata awe mzuri Kama malaika
Sasa Wanaume mnatafutwa kuharibiwa maisha kwa kila namna.
Na wewe usimpigie Mwanamke wala kumtafuta tofauti na issue za Kazi na kibiashara .
Jaribu kuwa smart and play smart.
Naona Sasa hivi dunia inakwenda kasi Sana, bado kidogo tu tufike katika Mfumo wa maisha ya Watu katika nchi za ughaibuni huko Magharibi ambako kila Mtu yupo nyumbani kwake amejifungia ndani ya geti lake. Hakuna kuombana chumvi, kutembeleana wala kusalimiana
awabeba nawaachia lugalo na mwengeSasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume .
Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao.
Ukitaka kutoa msaada Katoe vituo Vya watoto yatima.
Pia usitembee na mwanamke ambaye unakaa nae mtaa mmoja hata awe mzuri Kama malaika
Sasa Wanaume mnatafutwa kuharibiwa maisha kwa kila namna.
Na wewe usimpigie Mwanamke wala kumtafuta tofauti na issue za Kazi na kibiashara .
Jaribu kuwa smart and play smart.
Aisee! CCM hata kuandika hamjui, hivi huwa mnapitishwa vipi kwenye chaguzi kama wagombea wa nafasi mbalimbali?Mkuuu nilikuwa nawapa lift watoto asbh n
awabeba nawaachia lugalo na mwenge
Sikuhio nkasikamishwa na mdada MMOJA traffick mwenge akaniulzia maswali nkamjibu hakuwa na na MBAYA akanionya kaka una huruma
Hurama Haina malexi
KUNA siku watakuitia unawapeleka SEHEMU mbaya
2. Wakipata ajali akafa HATA MMOJA
Na wewe tafuta sumu ufe YAAN utaumaliza mwendo helà ykichexa
Aisee Toka sikuhio walewatoto nkiwaona nawesha weipa kama kubamvua nawapita fyuuu wengine ne wako for two..niliwabebw miaka 3-4
😂😂😂 Kataa ndoa wamefikiwa!😅😅😅 Hii solution ya vijana wa kataa ndoa