Mtaani kuna Black-Mail system wanaume kuweni makini sana.

Hii ya watoto kuomba pipi nilikuwa sijui ndio naisikia leo. Kwa kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja inabidi tuchukue tahadhari. Ahsante sana mleta uzi umenisanua.

Ila hili la pili la wakina dada kutega wanaume kushirikiana na mume au boy friend au saa nyingine hata wazazi waliopinda lipo sana. Ukiingia kwenye kumi nane lazima pesa zikutoke za kutosha.
 
Hii kweli kabisa hii michezo ipo na hasa wakikuona mwanaume upo mwenyewe unavisent vya kubadilisha mboga, gheto lipo vizuri ukiwa na kausafiri hata pikipiki, uwe makini sana usizani labda unapendwa au wewe HB kumbe wenzako wanakuwimda na tena wengine wana washirikisha na wazazi.

Siku hizi mabinti na wazazi wao hawana aibu mbele ya fedha na ukijaribu useme upige jua ndio umenasa na huchomoki hapo na wengine hutumia hata ndumba.
 
Kunywa maji, utu elezea vizuri Ume kutwa na nini mkuu?
😊😊
Mfano Mimi nimnunulie mtoto pipi alafu iweje nionekane / niingie matatizoni.

Mfano ninapo kaa mtaani watoto wengi nimewazoesha watoto kuwa nunulia u fresh kiroho safi TU.

Hatajana watoto 20 wa MAJIRANI nimefika home mida ya saa mbili kasorobo usiku wakaja kunipokea kwa kuni wao.

Nikawapa pesa wakaenda kununua u fresh kiroho safi.

Mimi ni mtu wa maadili Sana na itokee mtu akuletee / issue Kama ya Manfred itashangaza sanaaa.
 
Hakika Mkuu
 
Kaka hebu tuma teni lililo zagaa kwenye akaunti yangu🤣😁
 
😊😊
Mfano Mimi nimnunulie mtoto pipi alafu iweje nionekane / niingie matatizoni.

Mfano ninapo kaa mtaani watoto wengi nimewazoesha watoto kuwa nunulia u fresh kiroho safi TU.

Hatajana watoto 20 wa MAJIRANI nimefika home mida ya saa mbili kasorobo usiku wakaja kunipokea kwa kuni wao.

Nikawapa pesa wakaenda kununua u fresh kiroho safi.

Mimi ni mtu wa maadili Sana na itokee mtu akuletee / issue Kama ya Manfred itashangaza sanaaa.
Mkuu we chukua tu tahadhari haitakugharimu kitu chochote. Waswahili hawana jema hata siku moja. Ni ushauri tu mkuu. Kama familia inaweza kufanya hiyo michezo na binti yao vipi washindwe kumtumia mtoto wao mdogo. Mimi mwenyewe hiyo ya watoto ndio nimejua leo ha JF. Na shida ya mambo kama hayo unweza usipate muda wa kujitetea na jamii yetu huwa haina muda wa kutafuta ukweli badala yake wanachojua wao ni kusambaza habari tu ili kila mmoja aonekane ndiye aliye kuwa wa kwanza kutoa "breaking news"
 
Fact
 
Napokea ushauri na kuanzia leo ntauzingatia huu ushauri.
 
Back
Top Bottom