Kilakitu namudawake
Member
- Sep 6, 2024
- 47
- 115
Namuunga mkono mtoa mada mtaani kwetu juzi kuna mzee wa makamo,ana familia kabisa kaenda bar kanywa pombe zikamkolea,akaanza kucheza na mtoto wa mwenye bar huyo mtoto ana miaka 6,kumbe mwenye mtoto alikuwa anachukua video jana kaenda polisi kawaonesha video anasema mtoto wake alitaka kubakwa mzee wa watu kakamatwa ameambiwa alipe M1 ndipo aachiweKuna mfumo mzazi anamtuma mtoto wake aje kwako umnunulie pipi na ukishamnunulia anakuja kukuambia kuwa unamuwinda mtoto wake.
So kilichopo ndo hicho