Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

Mtabiri kashafeli walahi kichwa mchunga simba anakiwekea imani🀭🀭
 
Uzuri ana "tabili" sio kutabiri.
 
Mtabili ameshaona utopolo watakutana na kitu kizito, watapigwa wachakae
 
Udhaifu wa Simba uko wapi? Isije ikawa hukuona gemu ya awali kwa Mkapa?. Wangekuwa dhaifu wasingepata 7 shots on target na ku-possess 63%.

Ahly walikuwa na bahati kwa kuwa na shot on target 1 na ikawa ndiyo goli hilohilo.
 
Hizi mechi ni za plan kali sana siyo takwimu.Simba aliachiwa acheze mpira kimkakati na siyo kwamba Al Ahaly walishindwa kufunguka.Japo Simba alimiliki mpira ila haikuwa na athari zozote kwa aina ya wachezaji wa Simba.Nafasi 12 za Simba wakitengeneza wanapokutana na timu yenye mbinu wanawezapata moja.Al Ahaly alikuwa na hatari sana anapokuwa na mpira kuliko Simba.
 
Hapana amekosea kwa asilimia 75%

Timu zitakazoingia nusu fainali ni:

Young Africans
Simba
ASEC Mimosas
Petroleos de Luanda

HII NI UHAKIKA. NI UNABII.

NB: Kiuhalisia sasa, nasubiri kuona hizo timu zote zitapenyaje?
 
Ni mchawi mwenzenu, lazima muamini asemacho.
 
Hiyo ikitokea nchi haitakalika. Nitachukua likizo kwenda Dubai kupumzisha akili
 
Yule mashino alitabiri weee baadae kaufyata ...
 
Simba atavuka kwa tofauti ya goli Moja. Mtabiri hajakosea,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…