Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Umempatia sana huyu mtani wangu Mshana Jr . Umesahai jambo moja tu... huyu jamaa ni mchawi na mwizi wa wake za watu.
 
Dah sisi ambao sio maarufu wala hatutajwitajwi inauma Sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…