Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Faiza foxy atakuwa na tabia za
kiswahiliswahili
Kishambenga
Kusutanasutana
Ushirikina
Kuamini majini
Mpaka hina
Anachoma udi
Anavaa mahijabu ya kininja
 
Naomba mnajimu anitabiri na mimi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kijana umri kati ya 23-27
Ni mrefu kiasi, mwili umenyimwa
Ni mstaarabu fulani japo sio sana halafu watu wanakuogopa wanajua upo serious sana kumbe hamna kitu.
Unapenda kuvaa jeans, unajipenda na unanyoa kawaida yaani sio kipara, kiduku wala hufugi nywele.
Unapenda wanawake japo unajitahidi kujifanya huna habari nao.
Una uchumi wa kati sio kapuku na si kwamba una pesa nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo anafaa kuwa mmeo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wakuu samahani nje ya maudhui ya uzi.

Nikiangalia katika profile yangu naona imeandika TROPHY POINT 280 wana maana gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa zinatolewa unapojiunga na ukianza kuchangia/kupost.

Ukipost post kadhaa unapewa trophy kadhaa.

Ukipewa likes kadhaa unapewa trophy kadhaa.

Kwa hiyo zinajumlishwa hadi zinafika 280 ndio kikomo chake
 
Mkuu hio nakula kama Snacks tu..
Stool ipo kama kawa! Tunajazia power of man pale zilipopungua...
Actually Dina hii hapa

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nauona udaga hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…