Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamaanisha umebakiza siku 280 za kuishi. Tubu na kuiamini injili...Wakuu samahani nje ya maudhui ya uzi.
Nikiangalia katika profile yangu naona imeandika TROPHY POINT 280 wana maana gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
maana yake wewe unakaribia kula banWakuu samahani nje ya maudhui ya uzi.
Nikiangalia katika profile yangu naona imeandika TROPHY POINT 280 wana maana gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhhha sidhani kama si sahihimaana yake wewe unakaribia kula ban
Karibu utabiri mkuu, naendelea kutoa.Mtu akipata hiyo asilimia 20 unatoa au nusu na nusu tayari imeisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kijana umri kati ya 23-27
Vitambaa vilivyokusudiwa hapo ni vitambaa vyepesi, sio kama hii hapaSuruali nyingine ni za magunia? Au jeans sio kitambaa? Ni taulo?
Kwa sababu sio kweliKwa nini yasiwe kweli jamani?[emoji126][emoji126][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo anafaa kuwa mmeo?Wewe ni kijana umri kati ya 23-27
Ni mrefu kiasi, mwili umenyimwa
Ni mstaarabu fulani japo sio sana halafu watu wanakuogopa wanajua upo serious sana kumbe hamna kitu.
Unapenda kuvaa jeans, unajipenda na unanyoa kawaida yaani sio kipara, kiduku wala hufugi nywele.
Unapenda wanawake japo unajitahidi kujifanya huna habari nao.
Una uchumi wa kati sio kapuku na si kwamba una pesa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Mwifa ni either ndo amemaliza shule from Medical School au bado yupo..so hiyo miaka uliyoisema naona haina uhalisia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki bila chambo humnasi mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Kwa mlo huo, nina mashaka kama utapata stuli....tehteehh [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwifwa ebu ukuje hapa unisaidie aiseeeeee.... maana naona kijana anajifunga mabomu ili akarejeshe heshima kwa mtaafu, yaani huyu tutampoteza veri suni [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama sijakosea ana Master ya electrical engineering na alihamishia makazi yake Canada . Sa sijui kama amesharudi ama laa.
Huwa zinatolewa unapojiunga na ukianza kuchangia/kupost.Wakuu samahani nje ya maudhui ya uzi.
Nikiangalia katika profile yangu naona imeandika TROPHY POINT 280 wana maana gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauona udaga hapo mkuuMkuu hio nakula kama Snacks tu..
Stool ipo kama kawa! Tunajazia power of man pale zilipopungua...
Actually Dina hii hapa![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Jini makataaa[emoji34]Ohhhooooo....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kumbe wewe ndie yule jini wa humu jf..[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]..Wewe ni afisa mikopo brack simanjiro
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Wanamaanisha umebakiza siku 280 za kuishi. Tubu na kuiamini injili...