Daah..umenipatia kwa asilimia 75..Zawadi gani nikupe??Wewe ni kijana umri kati ya 23-27
Ni mrefu kiasi, mwili umenyimwa
Ni mstaarabu fulani japo sio sana halafu watu wanakuogopa wanajua upo serious sana kumbe hamna kitu.
Unapenda kuvaa jeans, unajipenda na unanyoa kawaida yaani sio kipara, kiduku wala hufugi nywele.
Unapenda wanawake japo unajitahidi kujifanya huna habari nao.
Una uchumi wa kati sio kapuku na si kwamba una pesa nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu utabiri mkuu, naendelea kutoa.
Yap mkuu.. ukiona hivo ujue ni mapgo kutoka Kwa wale viumbe wenye Chromosome 86 za ubishiNauona udaga hapo mkuu
Kuna jamaa humu alikuja na swaga kwamba jini sijui kamfanya nini nini sijui...tehteehh mwisho wa simulizi watu wakamuonea huruma.... basi hakuchelewa kuchomekea na cd ya assist....tehteehh kweli jf ni kiboko wallahJini makataaa[emoji34]
Ndio habari ya mujiniii mpenzii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeona si mlisema ni gudume auKuna jamaa humu alikuja na swaga kwamba jini sijui kamfanya nini nini sijui...tehteehh mwisho wa simulizi watu wakamuonea huruma.... masi hakuchelewa kuchomekea na cd ya assist....tehteehh kweli jf ni kiboko wallah
Hapo ndio penyewe.Yap mkuu.. ukiona hivo ujue ni mapgo kutoka Kwa wale viumbe wenye Chromosome 86 za ubishi
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ila mwanangu kuomba assist jf yahitaji roho ya paka kama Joram KiangoKuna jamaa humu alikuja na swaga kwamba jini sijui kamfanya nini nini sijui...tehteehh mwisho wa simulizi watu wakamuonea huruma.... masi hakuchelewa kuchomekea na cd ya assist....tehteehh kweli jf ni kiboko wallah
Ndio habari ya mujiniii mpenzii
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Naanzaje kukususia...??
Daah mpenzi mambo yangu hayaMwenye kuhitaji kuazimwa fursa hiyo.....
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Si ndio nashangaaNaanzaje kukususia...??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sogea karibu nikusomee
Nyuki anakimbiaje maua??