Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Aisee, naomba uniambie mtandao unao tumia tafadhari..ili pakikucha tu nkutumie mgao wa vocha.
Point uliyo hit zaidi ni hyo ya age.. though 27 natimiza mwezi wa 5
 
😂😂😂😂😂mkuu kwanini usiwe mtabiri tuu..?? umepita mule mule!... dah
 
espy

umri wake ni kati ya 28 na 34, ni mwembamba ila si sana, yani hana chura mkubwa mkubwa wala matiti kama Mzigua90. ni mzuri wa sura, mwerevu, mwenye roho nzuri, wife material, funny en mwenye kuchangamka mda wote.

she analytical, anachukulia vitu kwa uzito sana huku anajifanya she is simple. usipomjua utadhan hajawah kuwa serious lakin she is.

Mama shikamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah nimesoma salamu kutoka kuzimu, mikononi mwa nunda na tutarudi na roho zetu? (Hiki kipo cha kizungu pia kinaitwa Zero Hour)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu huu tabiri kiboko hebu nitabirie na mimi basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…