Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Upo sahihi, ni mapungufu yangu nakiri hilo. Ahsante kwa kunielimisha.
 
Mkuu unanifahamu?? You hit a point..

😂😂 Sikufaham hata kidogo, but we we in moja kati ya watu ninao wakubali sana JF before! Sijajiunga na JF nilikuwa nafatilia thread zako sana
Ulinishawishi mno hadi nikajiunga JF

Natamanigi sana nikuone wafananaje
Nakuelewa sana bro..✌👊👌
 
Ok pm iko wazii

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Shunie

age - 27-34

kazi-atakuwa ni muajiriwa private sector

muonekano - atakuwa ni mrefu ila sio sana/white/ sio mnene sio mwembamba/ ana umbo flan hivi/ ana nywele ndefu ila anapenda kushonea weaving

atakuwa anashabikia man united na nimpenzi wa heineken baridiiiiiii

gari atakuwa anapush - black metalic bmw 1 series (116i) model of 2011

atakuwa anaishi dsm

anaonekana anaendaga trip za South Africa na Dubai mara kwa mara

kiufupi anaonekana siyo mtu wa mchezo mchezo huyu

nyie muiteni Shunie mimi namuitaga insta babe
 
Khantwe dada yangu nadhani wewe ni kati ya 27-32 kiumri.

Elimu=unaonekana umesoma soma kati ya degree ama master,ila degree ndo nadhani ina hakika kwa asilimia nyingi.

Alafu insonyesha degree umepata enzi za jakaya mana huna stress kabisa.

Unajifanya mtu wa majuu hufagilii bongo muvi,wewe muvi za nje tu,sijui kwa sababu unajua jua kizungu?

Unamtu unampenda sana kiasi kwamba akikufosi umpe 0712 inaweza kuwa kazi rahisi.

Hunaga msimamo kwenye mapenzi mda ungine,wewe unamkumbukaje boyfriend wako mliyekutana nae chuo huko wakati kils mtu na maisha yake?

Osoookeeeeey
Hahaha mkuu huu tabiri kiboko hebu nitabirie na mimi basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetumia kipimo gani kuona yote hayo au opticalmeter maana sio kw kuona huko mpk vya sirini duuuuuh aise,we limtambo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh hmmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…