Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitaanzaje kuisahau kwamfanoMkuu kuna ajali huku unaikumbuka...??.
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitaanzaje kuisahau kwamfanoMkuu kuna ajali huku unaikumbuka...??.
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Upo sahihi, ni mapungufu yangu nakiri hilo. Ahsante kwa kunielimisha.Lugha mama yangu ni Kiswahili kwa hiyo sina qualification ya Uarabu. Binafsi nnaamini Uarabu ni lugha, siyo rangi, siyo kabila, siyo dini, siyo taifa, siyo bara (kontinenti).
Ustaarabu ninao kama ilivyo kwa Watanzania wengi tu (au wote?) Maana kinyume cha ustaarabu ni ushenzi.
Bora 😀😀ila ni vizuri kwako, wanakuona new bird in town [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji861][emoji13][emoji13][emoji13]hamna kazi, ngoja nisome comments lazima watakuwepo[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanifahamu?? You hit a point..
Ok pm iko wazii[emoji23][emoji23] Sikufaham hata kidogo, but we we in moja kati ya watu ninao wakubali sana JF before! Sijajiunga na JF nilikuwa nafatilia thread zako sana
Ulinishawishi mno hadi nikajiunga JF
Natamanigi sana nikuone wafananaje
Nakuelewa sana bro..[emoji111][emoji109][emoji108]
Miss you
Tabiri za mshana na dada ake mdogo ziko wapi jamani mbona sizioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau sifa moja ya FaizaFoxy kuwa anamiliki bahasha yenye nyaraka za taraka, kwani aliolewa na kuachika mara sita kipindi hajawa kikongwe.
Khantwe dada yangu nadhani wewe ni kati ya 27-32 kiumri.
Elimu=unaonekana umesoma soma kati ya degree ama master,ila degree ndo nadhani ina hakika kwa asilimia nyingi.
Alafu insonyesha degree umepata enzi za jakaya mana huna stress kabisa.
Unajifanya mtu wa majuu hufagilii bongo muvi,wewe muvi za nje tu,sijui kwa sababu unajua jua kizungu?
Unamtu unampenda sana kiasi kwamba akikufosi umpe 0712 inaweza kuwa kazi rahisi.
Hunaga msimamo kwenye mapenzi mda ungine,wewe unamkumbukaje boyfriend wako mliyekutana nae chuo huko wakati kils mtu na maisha yake?
Osoookeeeeey
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuu tulia.Mkuu umetumia kipimo gani kuona yote hayo au opticalmeter maana sio kw kuona huko mpk vya sirini duuuuuh aise,we limtambo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabiri za mshana na dada ake mdogo ziko wapi jamani mbona sizioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh hmmmNaanza
Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana
Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana some times anatoka na baibui,some times kiujana zaidi
Miss Natafuta - huyu ni 28- 34 huyu atakuwa anapewa shavu na mwanaume flani na kadata kweli kweli na kampa mtaji bibiye na kujiajiri,huyu dada kwa mawigi balaa
Mwifwa - hili jembe ni kati ya 30 -35 na ni mtu wa ofisi sana anapenda kuchomekea na kuwa smart na suruali za vitambaa,hapendi nywele kubwa
chaliifrancisco - huyu ni kati ya 22 -26 ni mshkaji yupo kitaa anapiga madili ,ni mtu wa jeans sana na raba alafu anapenda kufuga nywele.
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.
Endeleeaaa
Sent using Jamii Forums mobile app