Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

Mtaje kiongozi yoyote wa awamu ya tano aliyekuwa maarufu lakini siku hizi hasikiki...

Akasema "Hii kule Madagascar anagawa rais mwenyewe"

Ile awamu ilijaa uongo ili kumfurahisha mtu na watu wakaambiwa juice inakwenda kufanyiwa utafiti tena NIMR ndio igawiwe kwa watu.

Ila ikawa ndio mwisho wa story ya hii juice na hasara waliyosababisha walipochoma mafuta kwenda Madagascar hakuna aliyejali.
 
Kumbe JF Kuna kipindi Cha kutuma salamu mbona hatuambiani🤗
Natuma Salami kwa Ally Hapi aliekuwa mkuu wangu wa mkoa Kinondoni, naona amekuwa mkulima aendelee hukohuko
 
Back
Top Bottom