Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah uliwin at lastChangamoto km nilizopata yani ila badae wa jikoni nikampata konki shida ikawa hao magumegume tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah uliwin at lastChangamoto km nilizopata yani ila badae wa jikoni nikampata konki shida ikawa hao magumegume tu
Hahahaha tena wakishapata mtu wa kuondoka nae na nyodo zinaongezeka hata wewe boss anaweza kukujibu anavyojisikia,, mteja je?Hahahah mhudumu anafanya kazi anawaza anaondokaje na jamaa. Huku wateja wengine wanamzonga nishakuwa na mfanyakazi anamwambia mteja kunawa kule...huku kashika simu
Eeh mkuu nataka nirudi bongo hata hivyo. Ishu gani iko hot now nije nikimbize. Maana hii kitu support yangu kubwa ilikuwa kampuni za utalii af zimecease ghaflaBar zimekua changamoto sana...watu wanakunywa sana kwenye vipub na maduka ya mangi,hata ukiwa na elf 10 unakunywa bia zako 5 unaenda kulala...
Bar zimekua changamoto sana kwa sasa,ila ungekua dar ningekupa mbinu za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
hatar sana hawa watuHahahaha tena wakishapata mtu wa kuondoka nae na nyodo zinaongezeka hata wewe boss anaweza kukujibu anavyojisikia,, mteja je?
Jiko lilikuwa mwaaah ila watu wako hao wakaniangusha nikaachana na hiyo biasharaDah uliwin at last
😄😄😄😄😄Ji
Jiko lilikuwa mwaaah ila watu wako hao wakaniangusha nikaachana na hiyo biashara
Warembo wenye chura wapo ama unakaa mwenyewe na sharubu zako?Wadau mko freshi?!
Wazee natafta mtu mwenye Bar management skills aje kunishika mkono.
Setup ya bar iko freshi, nachohitaji ni ubia na mtu mwenye uzoefu ili tuweze ku boost sales. Mapato yakiongezeka maradufu nitakachofanya tutakuwa tunagawana faida baada ya kutoa expenses at 50% yani pasu kwa pasu. Cha muhimu ni uwezo wa kufanikisha mauzo yaweze kuongezeka mara dufu. Maana sales figure imeshuka sana kiasi cha kwamba nahisi nitaanza ku struggle kukava ma Gap.
Niko Moshi mjini. Kwa ambaye atakuwa interested basi anicheki inbox.
Hahaha lazima wawepasua kichwa hasa wakiwa na chura sii wagegedaji lazima wamwage sumu.Shida ya hii biashara ni barmaids, kiukweli wengi wao ni pasua vichwa
Miss you bae.Shida ya hii biashara ni barmaids, kiukweli wengi wao ni pasua vichwa
Mkuu ukiwa na meneja ambaye anawala huwa inafika point meneja anakuwa hana usemi hata mhudumu akimkosea mteja basi meneja anakuwa upande wa muhudumu... Kikubwa ni zile concept za promotions ila kuwala pia inaweza isiwe solutionTafuta dogo anaewala na kuwa control
We unam control dogo na dogo ana wa control wao....
Usisahau band weekend..zipo band Hadi laki mbili zinakupigia ..au nunua mziki utafute DJ
Unamlipa 50 Tu but anakujazia watu weekend
Bae hiyo vipi wewe MC?Miss you bae.
Kwakweli akili zao wanazijua waoHahaha lazima wawepasua kichwa hasa wakiwa na chura sii wagegedaji lazima wamwage sumu.
Vp niitoe? PM yako ipo wazi?Bae hiyo vipi wewe MC?
Imefungwa,,iache usiitoeVp niitoe? PM yako ipo wazi?
Labda kwakuwa Ni ID mpya but we used to be friends.Imefungwa,,iache usiitoe
Njoo pm unikumbusheLabda kwakuwa Ni ID mpya but we used to be friends.
Ifungue kwa dharula kdg ili nikujeNjoo pm unikumbushe