Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Bar zimekua changamoto sana...watu wanakunywa sana kwenye vipub na maduka ya mangi,hata ukiwa na elf 10 unakunywa bia zako 5 unaenda kulala...

Bar zimekua changamoto sana kwa sasa,ila ungekua dar ningekupa mbinu za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh mkuu nataka nirudi bongo hata hivyo. Ishu gani iko hot now nije nikimbize. Maana hii kitu support yangu kubwa ilikuwa kampuni za utalii af zimecease ghafla
 
Wadau mko freshi?!
Wazee natafta mtu mwenye Bar management skills aje kunishika mkono.

Setup ya bar iko freshi, nachohitaji ni ubia na mtu mwenye uzoefu ili tuweze ku boost sales. Mapato yakiongezeka maradufu nitakachofanya tutakuwa tunagawana faida baada ya kutoa expenses at 50% yani pasu kwa pasu. Cha muhimu ni uwezo wa kufanikisha mauzo yaweze kuongezeka mara dufu. Maana sales figure imeshuka sana kiasi cha kwamba nahisi nitaanza ku struggle kukava ma Gap.

Niko Moshi mjini. Kwa ambaye atakuwa interested basi anicheki inbox.
Warembo wenye chura wapo ama unakaa mwenyewe na sharubu zako?
 
Sijawahi ifanya hi biz.ila kwa macho yangu ya kiteja nimegundua yafuatayo kutokana na zile zinazodumu.
1.Wahudumu ambao Ni visu kweli.
2.Vyumba hata viwili vitatu vya ndani humohumo kwa ajili ya biashara yao pendwa kwa short time na endapo atapata mteja wa kulala naye Hadi asubuhi ataenda naye baada ya muda wa kazi.
3.Mlinzi wa kusimamia sheria ya mhudumu kutotoka kabla ya muda bar kufungwa.
4.Uwape/uwakumbushe darasa la customer care walau kila wiki Mara moja.Na kufanya tathmini ya kila wiki.
5.Walau ikipendeza mkataba wa miezi mitatumitatu tu wenye WIN WIN SITUATION.
6.Mwisho ambalo Ni baba lao Ni MATANGAZO na PROMOTIONS hapo utakuwa umeua kbs chief.Maana biashara Ni MATANGAZO haijalishi biashara yako Ni kongwe au lah.
 
Tafuta dogo anaewala na kuwa control
We unam control dogo na dogo ana wa control wao....

Usisahau band weekend..zipo band Hadi laki mbili zinakupigia ..au nunua mziki utafute DJ
Unamlipa 50 Tu but anakujazia watu weekend
Mkuu ukiwa na meneja ambaye anawala huwa inafika point meneja anakuwa hana usemi hata mhudumu akimkosea mteja basi meneja anakuwa upande wa muhudumu... Kikubwa ni zile concept za promotions ila kuwala pia inaweza isiwe solution

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuchanganyikiwa basi miliki Bar, Mkuu hao wahudumu wajilipe kwa kreti itawaongezea motivation.

Apambane mwenyewe, mfano kwa kret anabaki na buku jero(1500) akiuza kreti nne ana 6000, so kama una wahudumu watano unakuwa umepiga mzigo wa kutosha,

Pia Mteja akitaka kuondoka na muhudu mda wa kazi kuna kiasi anakiacha kaunta. Na wewe uwe unazunguka bar za wengine ukimuelewa mhudumu unafika bei(unamuiba) kama Soka tu ,mchezaji mzuri ni dau unamnunua kwa dau kubwa.

Kitu kingine, inakubidi uwe na Circle kubwa ya walevi/kampani, usiwe uankaa tu ofisini kwako(bar kwako) zunguka kwa wengine huko unakutana na wadau.
 
Back
Top Bottom