Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Anatafuta subscribers wengi wa video zake! Halafu pia kupitia ku invite watu, kuna credits anazipata, tena nyingi kulinganisha na njia nyingine za ku connect watu na matukioa kwenye blog yake!Kwanini tukiona fursa inayolipa huwa hatupigi pesa hadi tutosheke ndipo tuanze kushirikisha wengine?
Kwanini unatumia nguvu kutangaza? nimeona uzi huu umepost majukwa tofauti tofauti
Nakazia!!Ahahah mkuu fursa hazitutafuti bali tunazitafuta.
Ukiona fursa inakutafuta basi jua wewe ndio fursa.
SME huwezi ku i rate, star ni hizo hizo watu wale wale comment zile zile guest huwezi ku comment, usanii wizi mtupu.Sasa sizungumzii online marketing mkuu,nazungumzia SME investment ,umeenda nje ya mada kabisa hii SME in. 4.9 star kachek playstore
Toa maelezo kamili, inahusiana na nini?, Unatakiwa ufanyaje ilibupate hela pamoja na risk zakeSME unaweza Anza kuwekeza from 10k na kuendelea na kupata faida kila lisaa ,join kwa Vodacom namba for easy deposit and withdrawal Vue App
Mzee kama haupo interested na haya mambo ya blogging waachie wenye interest yao,wewe Kaa pembeni na manegative yako.Naona hapa unaongeza vigezo vya kuwadaka mazwazwa
Keep going man! Naona hate nyng kwenye hii post. Lakini umewapa fursha wamekata... Mim mwenyew nafanya Adsense for a long time. So it's pay well na nmeacha kazi kwa ajili ya online business. Hata kama umemake 400k-600k per month ni bora kuliko mtu ambae kazi yake niumbea JF au kuanza kujudge idea za watu wengi wakati yeye anaangalia from outside. BIG UP SANAA!Habari yako
Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.
Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name (hii) kisha nikaanzisha Blog ambayo ni hii hapa.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.
View attachment 2227888
MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, tutaelekezana kidogo kidogo.
KAMA hivyo vitu unavyo na unahitaji kuwa na blog nipo tayari kukusaidia BURE.
WhatsApp: +255718453258
Blog ina muda mrefu na ina viewers wengi cha ajabu hata kununua domain ya 25000 umeshindwa bado unatumia dotblogspotBlog yangu ina muda mrefu na ina viewrs kibao lakini adsense mbona inagoma..unaweza kurekebisha?? Nasmiletz.blogspot.com
Ikawaje malizia storyHakuna kitu Raha kama unaenda Bank tareh 23 kuchukua Million+++ yaan kidogo wengne tupate ukimw maana wale wadada wa CRDB walinizoea mpaka wakawa wananiuliza unafanya kaz wap mbona wewe mshahara inaingia mapena mm nawaambia Mm ni mtu w IT nafanya kazi na Google muda huo ndio napiga Compter Eng. yang daah wakapagawa hatar.
Na kipnd hcho wafanyakaz walikuwa wanalipwa tareh 30 kabla ya JPM.
Ila watoto wa IFM Mungu anawaona tungekuwa tunaenda China sasa hv kufuata mizigo.
nilishawahi nunua domain miaka miwili mfulilzo..saiv nimeacha baada ya kuona lengo langu linagoma..nenda google andika nasmiletz.com utaona inauzwa kwa sababu mi nilishaachana nayo...kwahiyo usikurupuke tu kujibu usivovijuaBlog ina muda mrefu na ina viewers wengi cha ajabu hata kununua domain ya 25000 umeshindwa bado unatumia dotblogspot
Ona aibu basi wewenilishawahi nunua domain miaka miwili mfulilzo..saiv nimeacha baada ya kuona lengo langu linagoma..nenda google andika nasmiletz.com utaona inauzwa kwa sababu mi nilishaachana nayo...kwahiyo usikurupuke tu kujibu usivovijua
Kama domain tu ya 25000 kwa mwaka unaona hasara, je unaweza kulipia hosting ya 50000 kila mwezi?nilishawahi nunua domain miaka miwili mfulilzo..saiv nimeacha baada ya kuona lengo langu linagoma..nenda google andika nasmiletz.com utaona inauzwa kwa sababu mi nilishaachana nayo...kwahiyo usikurupuke tu kujibu usivovijua
watu wa tabata akili zenu mnazijua wenyewe na ashura wenu.....maana hata huelewi mi nini nimeandika na wewe unanijibu nini... waliosoma vizuri wameelewa..Kama domain tu ya 25000 kwa mwaka unaona hasara, je unaweza kulipia hosting ya 50000 kila mwezi?
Hapo ulipo domain bure hosting bure halafu unajiita blogger?
Endelea na ujinga wakowatu wa tabata akili zenu mnazijua wenyewe na ashura wenu.....maana hata huelewi mi nini nimeandika na wewe unanijibu nini... waliosoma vizuri wameelewa..
Vp SME yako unaweza kuwithdraw pesa saivi?SME unaweza Anza kuwekeza from 10k na kuendelea na kupata faida kila lisaa ,join kwa Vodacom namba for easy deposit and withdrawal Vue App
Ndugu usijaribu mm nimeshapigwa na kitu kizito tayari huko SMEmaelekezo zaid kwa hii kitu, vigezo na kadhalika