Kiongozi umeeleza vzr mnooo. Lakini wapo wasio sikia kama kenge kuckia kwake mpk masikio yatoe damu tuHakuna watu waliokuwa serious kama BRUXIS walisema wapo Australia wakawa wanakodi mpaka workstation zenye computer za kutosha na kuzipiga label za Bruxis wakat wa kuchukua video ili ionekane wapo sahihi, haitoshi walikuwa wanafanya mpaka seminars za nchi zenye wanachama wengi kwa gharama zao ila yote wakaja kupita kama ni mfuatiliaji najua utakuwa makini hizi ni Ponzi schemes tu hawan biashara yoyote na wanaoendesha hz system wengne wanakuaga tu kwenye maGheto yao ila wanatumia VPN (premium)
Sawa, changamkia fursaAcha uongo jamaa yupo peace sana kusaidia wenzie
Makosa unayofanyaBlog yangu ina muda mrefu na ina viewrs kibao lakini adsense mbona inagoma..unaweza kurekebisha?? Nasmiletz.blogspot.com
unaingiza laki 4 hadi 7 kwa mwezi halafu huna laptop? Unafanyaje hiyo kazi kwa ufanisi,kama huna laptop na unaingiza hiyo hela huoni unapiga kamba?Kwa kuongezea...Sina laptop Wala computer. Natumia smartphone yangu kuendesha Blog
Umetoa hoja nzuri...Binafsi nmetumia nguvu nyingi kupromote hili suala kwasababu Nina uhakika nalo.
Pili siwezi kusema nimeridhika kwasababu pesa napata Bado ni ndogo kulinganisha na bloggers wengine ambao wanaingiza mamilioni ya pesa.
Pia siku zilizopita sikuweza ku-share suala hili kwasababu sikuwa na uhakika nalo nilikuwa nasoma tu kwenye article za watu.
Hivyo Ondoa shaka
Ndugu jikusanye upate pia mobile app utakuja kunishukuruHabari yako
Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.
Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name (hii) kisha nikaanzisha Blog ambayo ni hii hapa.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.
View attachment 2227888
MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, tutaelekezana kidogo kidogo.
KAMA hivyo vitu unavyo na unahitaji kuwa na blog nipo tayari kukusaidia BURE.
WhatsApp: +255718453258
We jamaa 😃Kwanini usitumie elfu 25 zingine kununua ma-domains mengine kibao uendelee kupiga mpunga na kujinufaisha? Umeridhika na hivyo vilaki kadhaa?
Bg up Mwamba ntakuchek unipe madiniHabari yako
Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.
Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name (hii) kisha nikaanzisha Blog ambayo ni hii hapa.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.
View attachment 2227888
MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, tutaelekezana kidogo kidogo.
KAMA hivyo vitu unavyo na unahitaji kuwa na blog nipo tayari kukusaidia BURE.
WhatsApp: +255718453258
Haya ndio mambo ya ujanja ujanja hatuyataki
Njaa imeshaanza Kumgongea Hodi.Kwanini tukiona fursa inayolipa huwa hatupigi pesa hadi tutosheke ndipo tuanze kushirikisha wengine?
Kwanini unatumia nguvu kutangaza? nimeona uzi huu umepost majukwa tofauti tofauti
Hongera sana kwa kujitolea kwako ngoja. Nije unifundishe namiUmetoa hoja nzuri...Binafsi nmetumia nguvu nyingi kupromote hili suala kwasababu Nina uhakika nalo.
Pili siwezi kusema nimeridhika kwasababu pesa napata Bado ni ndogo kulinganisha na bloggers wengine ambao wanaingiza mamilioni ya pesa.
Pia siku zilizopita sikuweza ku-share suala hili kwasababu sikuwa na uhakika nalo nilikuwa nasoma tu kwenye article za watu.
Hivyo Ondoa shaka
Kwanini usifungue channel YouTube? Mpaka uwaite wasaupAmini...Sitozi hata senti moja, nimetoa namba Whatsapp kwa ajili kurahisisha maelekezo. Pia kama watatokea wengi iwe rahisi kuunda group. Ni BURE 100%
Daaah we jamaa😂😂😂Kwanini usitumie elfu 25 zingine kununua ma-domains mengine kibao uendelee kupiga mpunga na kujinufaisha? Umeridhika na hivyo vilaki kadhaa?
Ntafanya hiiKununua domains nyingi tafsiri yake ni kuwa niwe na blog nyingi. Kwasababu blog moja inatumia domain moja. Kwasasa Sina uwezo wa kumiliki blog nyingi, sitaweza kuziendesha.
Mimi nime-share fursa hii kwenu kama huamini au unaona nataka kukutapeli Achana NAYO ila jua tu BLOG INALIPA