Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaazaje kuuza vocha[emoji848]Vocha ukiziuza za laki moja faida ni 4800
Aisee Biashara ya vocha inataka Moyo[emoji848]Airtel pic moja ya Tsh 500 ni Tsh 470.....inamaana apo wewe unaweza ukawauzia watu wengine wa jumla kwa 478 au 490....kwa bei ya rejareja unauza 500
....ili uione faid andaa 3Ml adi 4Ml,uweze kuchkua pic zaid ya 10,000 [470×10,000] 4,700,000 apo kwa bei ya rejareja faida 300,000
Biashara ya mali kauli kwa mfanyabiashara mchanga Ni kumchimbia kabuli[emoji4]Mkuu comment yako imejaa busara za hali ya juu ila mimi ninaona kama hana madeni kwa hao suppliers wake wa sasa hakuna madhara yoyote akiagiza Mwanza. Ila kama kuna ambao humpatia mzigo kwa mali kauli anaweza kuanza kutulia kwanza kwa muda kama ulivyosema. Milioni 2 bado ni hela ndogo.
Tena sanaaa hasa ukiwa na mtaji mdogo..Aisee Biashara ya vocha inataka Moyo[emoji848]
Mkuu kama hutajali fafanua.Biashara ya mali kauli kwa mfanyabiashara mchanga Ni kumchimbia kabuli[emoji4]
Ubaya wa Mali kauliMkuu kama hutajali fafanua.
Binafs naichukulia Ni biashara kichaaTena sanaaa hasa ukiwa na mtaji mdogo..
....kuna mtu namfahamu anakunja mil 20 kama gross profit,ila yule mzee kwenye mtaji kawekeza zaid ya 1 Billion
[emoji3]Vocha ukiziuza za laki moja faida ni 4800
Umeandika vyema sana. Vijana wasome na wafanyie kazi. Nakazia pia vijana wasikope wakati wa kuanza bishara.Ubaya wa Mali kauli
1. Inalemaza Sana na kuondoa Hali ya upambanaji, unajihisi una hela, kumbe sio zako, unazungushia mitaji ya watu
2. Huwez fanya mambo makubwa binafs nje ya mzunguko wako ukihofia ukidaiwa ghafla pesa za watu utazitoa wapi.
3. Inakujengea mazoea ya kukopa kopa ovyo, unaamini dhana ya bila kukopa kamwe utoboi, kumbe sio kweli. Unaweza pambana ukatoboa Bila kukopa kopa.
4. Inakujengea usugu wa madeni, unakojumua mzigo unajihisi kukopeshwa Ni haki yako, kumbe sio kweli.
Pia Unajikuta unadaiwa daiwa ovyo, kila pesa unayoipata haikai, inapitia kwako TU Kama njia, ukianza kulipa madeni ya Watu mfukoni unabaki huna kitu.
5. Ukiwa kwenye Mali kauli, utalazimika uwe one man show, kila kitu ufanye Wewe.
-Ukiweka mfanyakazi,ndugu au mkeo, atajua una mtaji mkubwa sana, Hii uzaa uzembe au kuanza kukupiga akiamini anachokupiga Ni kdg sn huwez kufilisika. Kumbe kiuhalisia ndo unafilisika kimasihara.
6. Ukiuziwa mzigo wa Mali kauli, mara nyingi utauziwa Bei kubwa tofauti na anaenunua CASH. Huwez kua na Nguvu ya kubargain sana wkt mzgo wenyewe unakopeshwa. Hii itakuachia faida kdg Sana.
7. MDA wa rejesho ukifika na huna mauzo, Kuna hati hati ya kuuza vitu hata kwa Bei ya hasara au isiyokulipa,ili mradi tu usimkwaze supplier wako punde anapodai pesa yake. NDO ILE UTASKIA "OFFA OFFA TUNASAFISHA STOO" Kumbe rejesho limekukaba Koo. Tofaut na Wenye mitaji Yao, wao huuza kiboss Sana[emoji4].
Mkuu umenenaUbaya wa Mali kauli

Mkuu comment yako imejaa busara za hali ya juu ila mimi ninaona kama hana madeni kwa hao suppliers wake wa sasa hakuna madhara yoyote akiagiza Mwanza. Ila kama kuna ambao humpatia mzigo kwa mali kauli anaweza kuanza kutulia kwanza kwa muda kama ulivyosema. Milioni 2 bado ni hela ndogo.
Masaa mangapi kwenda8000×2=16000
8000×2=16000
Kununua mahitaji/kutafuta mahitaji. Ni neno linalotumiwa sana kanda ya ziwa.Hivi kuhemea ndio kufanyeje?
Mkuu mbona wakinga wengi hapa kariakoo ndio model yao ya biashara na wanafanikiwa?Mifano Ni mingi,
Ila nnachojua ukiwa mchanga Sana kibiashara na ukajiingiza kwenye Mali kauli,suala la kutoboa wewe Ni ngumu Sana.
Mara Mia ukakope benki ukajumue mzigo, na sio kupewa mizigo ya mali kauli ukauze dukani Kisha urejeshe pesa za watu.
Huwezi kuiona hela
Kwa nauli hii ni bora ukachukulie mzigo mwanza8000×2=16000