Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi sana. Kuna wakati fulani madeni karibia yachukue uhai wangu. Ila baada ya kula kiapo kuachana na madeni nikawa huru na mambo yanaenda.Mkuu kwa ufupi huwa nanunua bidhaa kwa cash, sina deni madukani. Hata ikitokea dharura ya kuishiwa bidhaa ghafla, nachukua vitu vichache visivyozidi laki 1.5 halafu nalipa kesho yake.
Yeah 8000 kwenda, 8000 kurudi.
Kuna kipindi ilikuwa 4000×2=8000 meli ya Bijil, baadae washindani wake wakapiga kelele, so now ni 8000×2=16000 isipokuwa meli ya Mwendo kasi
Yeah 8000 kwenda, 8000 kurudi.
Kuna kipindi ilikuwa 4000×2=8000 meli ya Bijil, baadae washindani wake wakapiga kelele, so now ni 8000×2=16000 isipokuwa meli ya Mwendo kasi