Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Ninamshauri asilime.
Yeye anunue mazao kwa wakulima kipindi cha mavuno.
Fanyia kazi hili wazo.

Risk yake ni ndogo ukilinganisha na hizo biashara zingine tajwa.
 
Kwa rate ya bajaji,kila trip utaingiza 2000,ili ufikishe 50,000,unahitaji trip 25 per day,
Ngumu sana,bajaji ziko nyingi na inatokea unagonjea mteja hata kwa saa nzima,mda wa kucover trip 25 unakua hautoshi labda afanye usiku na mchana
Kwa dsm hapa ni tofaut , na hua hawapigi kwa huu utaratibu (kama zipo ni sehemu chache sana) so anaweza piga trip moja tu akampa 30 elfu au hata zaid ya hapo, hizi elfu 10 na elfu 5 za kufikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una eneo, fuga kuku wa nyama, kila mwezi unawatoa..

Bei ya jumla kwa sasa ni 6000

Nb: kabla hujaanza biashara yoyote tafuta taarifa sahihi kwanza..


Sent from my iPhone using JamiiForums

Wapi uko wanauza 6000 nije mimi maana uku nilipo wanauza 5400 kuchinjiwa kila kitu mpaka kuwakatakata 5700


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu ni wagonjwa na wanahitaji tiba na madawa; fungua duka la dawa na ajiri aliyesomea hiyo fani
 
Mie sina la kukushauri..ila nakuomb niko chini nakuomba usiingie shambani
Bosslady hivi unajua kuna yule tajiri wa mabasi Sumry aliuza yote akazama kwenye kilimo kuna watu wanafanya poa sana Mimi nikiwa na hiyo 7M after 4 month nimeidouble kupitia kilimo kwa kufanya timing.
Sishauri na sikipendi kilimo kwa sababu unakuwa busy na inachosha everyday shamba ukipotea town mambo yanaharibika at least Mara 2 per wiki uwepo kuna msimu wadudu wanachachamaa balaa we ni kubadili madawa watu wa kitunguu na nyanya watanielewa yaani kila siku inabidi uwe shamba kama unaangalia mgonjwa, pia kilimo kinataka experience uelewe zao husika nje ndani kwa Mara ya kwanza ase utapata tabu pia SOKO linaua sana Ila LA Kenya linakuwa vizur kiasi chake tofaut na bongo niliwahi vuna kitunguu bei ni 10000(Elfu kumi) tena unabembeleza mnunuzi, Kilimo ni uwe na mtaji usio was mawazo Fanya umwagiliaji option ya kilimo ni worst na yakuchosha shambani na sokoni Kuna surprise kama wale wa forex.
 

Tajiri yangu nakuelewa sana usemayi..Sumri ni tajiri...narudia tena yule sio mwenzetu na mie wakulima eka 5/sijui..
Mie nimelima kwa passion kbs...! Sio hela ya mawazo...changamoto zilizop shambani ni mob..kwanza madawa feki..unapiga dawa unajua unaua flies kumbe dawa feki..ukirud wanakubadilisbia bila hiana

Mie sijawah pata mazao mabovu hata sku moja...sijui nikuelzeje...nilipewa wataalam kbs toka hapa sua...sheshe liko sokoni...usiniambia sijui sikutarget soko...mie labda jamii za kunde ndo ntashindwa kukuelezea...unafika sokoni na zao lako kuna gar km 20!
Ukijifanya wewe mjanja wanakutazama tu...kifup madalali wana umoja wa ajabu...!utarudi pale pale tu ! Kuna group tuliamua kuanzisha kupinga san madalali kuna mtu mmoja yuko humu alikua kinara tuwakatae madalali tutafute soko wenyewe..hehhe...ikabounce!we mtu una eka 5 unajigamba unapeleka kenya??/...labda km hujui mahesabu vzr!unahangaika siku 90 unakuja ambulia 300k faida..hapana!.bora ununue mazao uuze! Kilimo kina changamoto nyngi sana esp Tz!kuanzia mbegu had madawa!
Sumri unajua analima ekari ngap??jifananishe sasa na ww!
 
Bajaji safi tena sa hivi corona ni watu wawili kwa bei Mara mbili ya awali so ni deal, KILIMO ni kitamu sana kwenye makaratasi hio M 7 inaweza ikasoma 100M baada ya 3 months Ujinga wa kilimo japo nakifanya ni pesa za msimu na stress za shamba utamu mazao yakubali halafu bei IPO fresh kuna raha yake
 
Naelewa vizuri kilimo kinataka heavy capital japo so hoja soko linaamua demand na hali ya hewa pia kupeleka Kenya kwa Arusha na moshi ni karibu mtaji tu boss wangu ila kwa underground ni ngumu
 
Naelewa vizuri kilimo kinataka heavy capital japo so hoja soko linaamua demand na hali ya hewa pia kupeleka Kenya kwa Arusha na moshi ni karibu mtaji tu boss wangu ila kwa underground ni ngumu

Soko sio zuri
 
Hahah anamuongelea Sumri mwenye machine 1 tu ambayo inayogharimu Tsh.mil 600
 
Nadhani ungeenda deep zaidi ingekua poa sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu upo buzuruga hapo stand kona ya kwenda mecco nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Fanyia kazi wazo namba moja mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…