Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,403
Reaction score
11,912
Habari wataalam.

Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines.

Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu.

Biashara ipi inalipa hapa Mbezi ya Magufuli - na eneo lote kwa ujumla?
 
Ungekuwa na mtaji hapo ninpa kujenga lodge
8 mil jaribu labda huduma za pesa, japo ushindani ni mkubwa sana,
Unaweza pua kujaribu kamari al maarufu za dubu, mchina kwa sheria za sasa haruhusiwi tena kufanya biashara hiyo lakini bado watu wanacheza sana kamari.
 
Biashara ya maji mkuu.
Tafuta fremu karibu na stend ya daladala unaagiza maji jumla jumla kiwandani unakuja kuwauzia wafanya biashara wadogo hawa wa kutembeza wanauzia abiria stendi.
Hii mm nafanya natembeza ndani huko stend ya daladala bado najitafuta na nausoma mchezo.
1.tafuta fremu
2.nunua freezer kubwa na kuhifadhi maji ya baridi
3.nunua A.C na mashine flani hivi inapooza maji fasta kinoma nusu saa maji yashakuwa baridi.
 
Canter nzima faida ni kama ngap.mkuu?
 
Maji yana faida ?
 
Njoo nikuuzie duka la dawa mkuu mauzo ya uhakika kila siku si chini ya 150k
 
Back
Top Bottom