Mchanganuo.
Weka tsh 3,000,000. Kwa ajili ya mimi kukupa ushauri hayo ni malipo yangu
Tsh 1,500,000. Nakufanyia Training ya Ujasiliamali
Tsh 500,000. Nakutengenezea cheti cha kufuzu.
Tsh 1,000,000. Hiyo kwa ajili ya kufanya sherehe ya kumaliza masomo.
Tsh 1,000,000. Kwa ajili ya kukaa sasa Hotel siku 2 na kula tukijadiliana aina ya biashara ya kufanya.
Unabakiwa na Tsh 1,000,000 hii sasa unaanzia biashara. Kitaalamu Biashaara usianze na mtaji mkubwa. Mdogo tu kisha utakua kidogo kidogo. Nakuambia ukiwa na nidhamu miezi 3 tu unatoka na kuwa tajiri. Lakionea na baadaye Milionea.