Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

Nyingi sana hiyo, nakupa DODO sema Dodo

NIsikilize na uende ukaingie kwenye Utendaji...

VIfaa vya Usafi

Mafagio aina zote
Miti ya buibui
Brashi aina zote
Zoleo
Vikopo vya chooni

Kila kitu kinachohusu USAFI vya hawa watumiaji wa Chini, nikisema.chini namaanisha uweke mafagio ya kuuza 3000-5000

Vitu vyako bei zicheze 1000 - 10k usizidi labda ukizidi iwe ni kwa zile ndoo za kudekia zile ndoo na Mopa yake 12k.

Then nunua PLASTIC VYOMBO only plastic,ndooo,majaba,kontena aina zote, vikontena viko vingi sana eneo hili.

Zingatia Deal na wateja wa Chini nikimaanisha weka vitu vya bei 1000 - 10k usizid humo.

Ndoo aina zote kubwa,ndogo,visado,beseni,nk

Ndugu yangu hiyo 8M wakutafute in 2 month yani miezi miwili ijayo, Usipokua na mtaji wa 16m kwenda mbele NJOOO NITUKANIE NDUGU NA UKOO WANGU WOTE NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.

Tena location ni MBEZI LUIS nasemaje ANDAA MATUSI MAZITO MAZITO YAKUJA KUNIOGESHA usipokua na mtaji mara mbili mpk 3 ya hiyo hela.
 
Stand mtongani ila haikunilipa vile nilivyotarajia
Kule population ndogo, na kunywa vinywaji km maji au juice sio kivile, tofauti na Magufuli ile ni stand ya mkoa. Population kubwa na wasafiri ni wengi na wengine wasindikizaji.
 
Kuna kitu hujasema hapo. FREMU. Mtaji wote utaishia kwenye kodi.
 
Ishu ni faida inayopatikana ndo maana nimesema labda aongeze bei
Ila soft drinks hazina faida kiviiiile
 
Hiyo pesa ulitafuta ya nini? Au tukunyang'anye hadi utapojua kazi ya pesa? Ulitafuta yanini kama hujui cha kufanya?
 
Mchanganuo.
Weka tsh 3,000,000. Kwa ajili ya mimi kukupa ushauri hayo ni malipo yangu

Tsh 1,500,000. Nakufanyia Training ya Ujasiliamali
Tsh 500,000. Nakutengenezea cheti cha kufuzu.

Tsh 1,000,000. Hiyo kwa ajili ya kufanya sherehe ya kumaliza masomo.

Tsh 1,000,000. Kwa ajili ya kukaa sasa Hotel siku 2 na kula tukijadiliana aina ya biashara ya kufanya.

Unabakiwa na Tsh 1,000,000 hii sasa unaanzia biashara. Kitaalamu Biashaara usianze na mtaji mkubwa. Mdogo tu kisha utakua kidogo kidogo. Nakuambia ukiwa na nidhamu miezi 3 tu unatoka na kuwa tajiri. Lakionea na baadaye Milionea.
 
Kuna kitu hujasema hapo. FREMU. Mtaji wote utaishia kwenye kodi.
Mpka anatoa Location maana yake anajua anaenda fanyia wapi biashara yake.

Angekua hana pakufanyia biashara asingesema ENEO angesema tu nina mtaji kiasi flan naombeni nishaurini biashara na wapi niifanyie.

Ila huyu mpka kasema "HAPA MBEZI/MAGUFULI"

Means currently yupo mbezi magufuli...
 
Nimeona ndilo eneo linao endelea kuchangamka waka sasa kuliko maeneo yote hapa Dar
 
Back
Top Bottom