Duh. Kusoma sio kufanya biasharaMchanganuo.
Weka tsh 3,000,000. Kwa ajili ya mimi kukupa ushauri hayo ni malipo yangu
Tsh 1,500,000. Nakufanyia Training ya Ujasiliamali
Tsh 500,000. Nakutengenezea cheti cha kufuzu.
Tsh 1,000,000. Hiyo kwa ajili ya kufanya sherehe ya kumaliza masomo.
Tsh 1,000,000. Kwa ajili ya kukaa sasa Hotel siku 2 na kula tukijadiliana aina ya biashara ya kufanya.
Unabakiwa na Tsh 1,000,000 hii sasa unaanzia biashara. Kitaalamu Biashaara usianze na mtaji mkubwa. Mdogo tu kisha utakua kidogo kidogo. Nakuambia ukiwa na nidhamu miezi 3 tu unatoka na kuwa tajiri. Lakionea na baadaye Milionea.
Njoo nikuuzie duka la dawa mkuu mauzo ya uhakika kila siku si chini ya 150k
😂😂😂😂😂😂😂very strategic mentorMchanganuo.
Weka tsh 3,000,000. Kwa ajili ya mimi kukupa ushauri hayo ni malipo yangu
Tsh 1,500,000. Nakufanyia Training ya Ujasiliamali
Tsh 500,000. Nakutengenezea cheti cha kufuzu.
Tsh 1,000,000. Hiyo kwa ajili ya kufanya sherehe ya kumaliza masomo.
Tsh 1,000,000. Kwa ajili ya kukaa sasa Hotel siku 2 na kula tukijadiliana aina ya biashara ya kufanya.
Unabakiwa na Tsh 1,000,000 hii sasa unaanzia biashara. Kitaalamu Biashaara usianze na mtaji mkubwa. Mdogo tu kisha utakua kidogo kidogo. Nakuambia ukiwa na nidhamu miezi 3 tu unatoka na kuwa tajiri. Lakionea na baadaye Milionea.
Nicheki 0686762210Njoo nikuuzie duka la dawa mkuu mauzo ya uhakika kila siku si chini ya 150k
Kwa nini wewe unaliacha?Njoo nikuuzie duka la dawa mkuu mauzo ya uhakika kila siku si chini ya 150k
Mwenge hapawezi ni expensive sana ndani ya miezi 6 hela yake yote itapukutika.MUNGU akusaidie sana
Biashara za pemben ya mji mara nyingi huwa zinafel sana
Jaribu mwenge
Kwa nini unasema Mwenge ni expensive sana?. Utofauti wa Mwenge na Mbezi Luis ni nini kwa idadi ya watu na kodi ya pango?.Mwenge hapawezi ni expensive sana ndani ya miezi 6 hela yake yote itapukutika.
Maana anaonekana hana uzoefu wa biashara si umeona hata jinsi alivyouliza kwenye mada"Biashara gani italipa" yaani anataka umpe uhakika wa asilimia 100 kwamba akifanya biashara fulani ni lazima atoboe by default.
Kodi ya pango,aina za biashara zinazouzwa,aina za wateja kwa mtu anayeanza kujifunza biashara hapamfai.Kwa nini unasema Mwenge ni expensive sana?. Utofauti wa Mwenge na Mbezi Luis ni nini kwa idadi ya watu na kodi ya pango?.
Kodi ya biashara mbezi inaanzia laki tatu kwa mwezi, ingawa pia Mwenge frem za laki tatu zipo kibao.Kodi ya pango,aina za biashara zinazouzwa,aina za wateja kwa mtu anayeanza kujifunza biashara hapamfai.
Tofautisha na Mbezi ambako hata ukiuza maji ya kandoro au Mgahawabwa kuuza ugali Maharage wanunuzi wengi wapo.
Mkuu hapa tunaongelea Mwenge stendi na Mbezi stendi ya Magufuli wewe kumbe unaongelea Mwenge mitaani.Kodi ya biashara mbezi inaanzia laki tatu kwa mwezi, ingawa pia Mwenge frem za laki tatu zipo kibao.
Nikweli Mbezi hata ukiuza maji ya kandoro unauza na ubwabwa maharage unauza pia. Lakini pia kuanzia Lufungira mpaka kuelekea ITV pembezoni mwa kiwanda cha maji cha afya kote huko wanauza kandaro na yananyweka sana na huo ubwabwa maharage unalika sana.
Aina ya wateja wa kuwauzia hapa inategemeana umelenga wateja gani na wapo wengi kiasi gani.
Lakini nikweli kwa mtaji huo aweke Goli mbezi kuna sababu nyingi nje ya hizo ulizotaja ambazo hazina uhalisia.
Dah changamoto MUNGU amsaidie sanaMwenge hapawezi ni expensive sana ndani ya miezi 6 hela yake yote itapukutika.
Maana anaonekana hana uzoefu wa biashara si umeona hata jinsi alivyouliza kwenye mada"Biashara gani italipa" yaani anataka umpe uhakika wa asilimia 100 kwamba akifanya biashara fulani ni lazima atoboe by default.
Mbezi luiz mbona pako poa sana au hujawahi fikaMUNGU akusaidie sana
Biashara za pemben ya mji mara nyingi huwa zinafel sana
Jaribu mwenge
Sawa.Mkuu hapa tunaongelea Mwenge stendi na Mbezi stendi ya Magufuli wewe kumbe unaongelea Mwenge mitaani.
Sasa kama unaongelea biashara za uswahilini mitaani kuna haja gani atoke kwao asafiri kwenda mbali si anaweza akauza hata mitaani kwao anapoishi
Hata miaka hii itakuwa zamani pia...Hakuna kitu kigumu kama kuanzisha biashara miaka hii , wanaofanikiwa niwale walioanza zamani