Kwa hiyo alichoweka jamaa hapo juu ni uongo? Kweli mmepagawa.Acha uongo Yanga vs Al ahly 1982 , Yanga ilifungwa 6-1 Yanga tena 1984 ilifungwa 4-0 Watu wa records mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo miaka sita mfululizo ambayo sisi hatujaonekana kwenye tv mlifika wapi..mmewahi kufika hii hatua aliyofika simba???
Duh... Punguzeni hasira watani... Uzalendo kwanza.Mashabiki wa simɓa ƙwa team tuliƴonaƴo tusijipe moƴo wa ƙifiƙa popote tena
Hatua ƴa maƙundi ni hatua ndogo ila ƙwetu ni mafanikio
uhalisia unatuamɓia hatuwezi ƙwenda zaidi ƴa hapa kutokana na team tuliƴonaƴo, simɓa inawachezaji wengi wapumɓafu kuliko ƙipindi chechote
Wewe uliangalia mpira, au una chuki tu na Manula? Tuambie ni goli gani pale ni kosa la manula? Au angeweza kuzuia. Wale jamaa walikuwa hawapigi tu golini bali walikua wanafunga. Beki hatuna. Period.Shuti lenyewe ni lile walilotaka kujifunga, naamini sasa kuwa hata kipa hatuna.
Barafu la moto
Nikweli beki zina mapungufu lkn hata kipa nae hayuko vizur kumbuka kipindi chote simba ikifanya vizur golin walikuwepo kina kaseja mwameja kuna muda timu inatakiwa ibebwe na kipa mfano mechi ya yanga na simba.Wewe uliangalia mpira, au una chuki tu na Manula? Tuambie ni goli gani pale ni kosa la manula? Au angeweza kuzuia. Wale jamaa walikuwa hawapigi tu golini bali walikua wanafunga. Beki hatuna. Period.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Tano Sifuri, Tano Bila, Tano yai, Tano kwa sahani aaa! mnyamaa ,mwanyama mwaka huu mumetudhalilisha kinyama"
Watanzania ni bora tujikite kwenye Kilimo huu mpira tuwaachie wanaofahamu.
Wewe mambo yanayoendelea kwenye michuano ambayo unamiaka 20 unaishia kuyaona kwenye tv yanakuhusu nini...hata tukifungwa mia hayakuhusu..we endelea kujiandaa namechi zenu nasikia leo mnacheza na wakina alikibaTulia jana umetoka kuwaona ndugu wa mumeo misri tarehe 12 anakuja ukweni kumalizia mahari, harusi itakuwa Algeria, kamati itavunjwa na ndugu wa mumeo wanaoishi kongo ila watakuja hukuhuku tanzania
Mkuu simba mngefunga hata goli 1 ningekununulia perfume 6 za Haji Manara Collection.
Kwenye mijadala kama huu usitumie hii ngeli ya NGE kwakua itakushushia heshima yako kwasababu inapendwa zaidi na watoto wadogo/utopian