Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

target yetu ƙwa sasa iwe ni kwenƴe league ili msimu ujao turuɗi ƙwenƴe michuano hii tukiwa timejiandaa ƙufika mɓali zaidi

Team ƴenƴe ƙipa manula, ɓeƙi wawa haiwezi kutufikisha roɓo

Tunataƙiwa kufanya usajili mkuɓwa ili hawa wachezaji wanaocheza ƙwa mazoea wajiengue wenƴewe

Ƙwenƴe mechi ƴa jana nilijiuliza, hivi tungeƙua na ƙipa ƙama wa mɓao tungefungwa 5 kweli?

naamini tungekua na ɓeki kama morris na ƴonɗani goli zisingefika tano

naamini tungekua na viungo kama tshishimɓi + , goli zisingefika tano, tuna viungo wabovu amɓao tumewapaƙa mafuta mapƴa, kotei + mkude si viungo wa ƙujivunia ƙwenƴe mechi ngumu za ƙimataifa, siwaɗharau ila viwango vƴao vinaishia afrika mashariki tu, zaidi ƴa hapo ni kuwaonea

Mo anapaswa ƙuwa na mascauti wanaozunguka sehemu nƴingi afrika, tusipenɗe kuokota wachezaji kwenƴe sajili zetu, tuwe profesional

Inauma sana, team ƴenƴe pesa ƙama simɓa kwenɗa kuokota wachezaji wasiojuliƙana huko afrika maghariɓi ilihali hapo uganɗa na zamɓia kuna wachezaji wengi wenƴe uwezo wa kuiɓaɗilisha simɓa

simɓa ƴa 2003 haikua na pesa ila iliweza kuitetemesha afrika, hii simɓa yenye ƙila ƙitu ina shida gani

Tumejaza wachezaji unprofesional ƙiƙosini amɓao ili ƙufika mɓali tunapaswa ƙuwafƴeka ɓila huruma.
 
Huwa nashangaa sana kwanini yule kipa kutoka Ghana mlimuuza. Nimemsahau jina lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea vitu vya msingi sana kaka, muwekezaji anapenda timu ifanye vizuri tatizo lipo Kwa wasaidizi wake sifikirii kama wanavision aliyonayo yeye,,kuna vitu haviko sawa sifa wanazopewa hawa wachezaji foreigners na uwezo walionao ni vitu viwili tofauti,, kwenye usajili kuna uhuni Mo anafanyiwa,
 
Mashabiki wa simɓa ƙwa team tuliƴonaƴo tusijipe moƴo wa ƙifiƙa popote tena

Hatua ƴa maƙundi ni hatua ndogo ila ƙwetu ni mafanikio

uhalisia unatuamɓia hatuwezi ƙwenda zaidi ƴa hapa kutokana na team tuliƴonaƴo, simɓa inawachezaji wengi wapumɓafu kuliko ƙipindi chechote

Sasa nadhani mnaanza kuelewa....mtu anawaambia watu na akili zaokuwa Simba ni awa na Barcelona...halafu baadaye anakuja sema alikuwa anahamasisha kwamba ukiwaambia simba ni sawa na Barcelona eti Simba wanahamasika kuja uwanjani...What a shame!!! Yaani viongozi gani wa mpira tunao nchini?? Yaani kiongozi anapiga domo sawa na comedy na Simba eti wanaona kuwa eti huyo anafaa....Na bado huyo Saoura kule Algeria atapiga mtu 7-0 kwahasira...hakutakuwa na magoli ya offsde ya Kagere kule....
 
Umepigwa 10 katika mechi moja tena ndani ya mwezi mmoja, hiyo subira utaipaje hapo?
 
Umeongea vitu vya msingi sana kaka, muwekezaji anapenda timu ifanye vizuri tatizo lipo Kwa wasaidizi wake sifikirii kama wanavision aliyonayo yeye,,kuna vitu haviko sawa sifa wanazopewa hawa wachezaji foreigners na uwezo walionao ni vitu viwili tofauti,, kwenye usajili kuna uhuni Mo anafanyiwa,

Now you are talking...mpira mnacheza magazetini...sifa za ovyo zinazotolewa na magazeti kama Mwanaspoti, Championi, Bingwa na gazeti lenu lile lenye rangi nyekundu...ni sifa za kijinga sana...halafu msemaji wenu anawachukulia kuwa Simba hawafikiri kwankuwadanganya kuwa (yeye anaita kuhamasisha) eti Simba sawa na Barcelona....childish...
 
target yetu ƙwa sasa iwe ni kwenƴe league ili msimu ujao turuɗi ƙwenƴe michuano hii tukiwa timejiandaa ƙufika mɓali zaidi

Team ƴenƴe ƙipa manula, ɓeƙi wawa haiwezi kutufikisha roɓo

Tunataƙiwa kufanya usajili mkuɓwa ili hawa wachezaji wanaocheza ƙwa mazoea wajiengue wenƴewe

Ƙwenƴe mechi ƴa jana nilijiuliza, hivi tungeƙua na ƙipa ƙama wa mɓao tungefungwa 5 kweli?

naamini tungekua na ɓeki kama morris na ƴonɗani goli zisingefika tano

naamini tungekua na viungo kama tshishimɓi + , goli zisingefika tano, tuna viungo wabovu amɓao tumewapaƙa mafuta mapƴa, kotei + mkude si viungo wa ƙujivunia ƙwenƴe mechi ngumu za ƙimataifa, siwaɗharau ila viwango vƴao vinaishia afrika mashariki tu, zaidi ƴa hapo ni kuwaonea

Mo anapaswa ƙuwa na mascauti wanaozunguka sehemu nƴingi afrika, tusipenɗe kuokota wachezaji kwenƴe sajili zetu, tuwe profesional

Inauma sana, team ƴenƴe pesa ƙama simɓa kwenɗa kuokota wachezaji wasiojuliƙana huko afrika maghariɓi ilihali hapo uganɗa na zamɓia kuna wachezaji wengi wenƴe uwezo wa kuiɓaɗilisha simɓa

simɓa ƴa 2003 haikua na pesa ila iliweza kuitetemesha afrika, hii simɓa yenye ƙila ƙitu ina shida gani

Tumejaza wachezaji unprofesional ƙiƙosini amɓao ili ƙufika mɓali tunapaswa ƙuwafƴeka ɓila huruma.
Kina wawa waliachwa azam sisi tukaona wanafaa.
Kufika mbali ni lazima kusafisha kikosi kizima.
 
Mpaka mda huu ninavyoandika hapa nimewasalimia watu kama 5 wa Simba hawapokei mkono wangu,nimejaribu kusalimia kwa kuinua mikono yote,bado ni shida.Kwa kweli wala sina nia ya kuwakejeli bali sijui wananichukuliaje.Ni shiiiiida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsanteni simba kwa raha mlonipa jana japo niliamini mtapigwa 10
 
Back
Top Bottom