Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

Ningekuelewa ungesema Elimu imechangia kuenea kwa Uislam Ulaya. Kazi nyingi za ujuzi kuanzia Udaktari, Uhandisi na IT zimeshikiliwa na wahamiaji kutoka Egypt, Syria, Iran na hata Pakistani.

Hawa wanalipwa mishahara kutokana na ujuzi wao na ni washika dini haswa. Wakiamua kuweka 10% ya mshahara mwaka mmoja tu katika unoja wao wamenunua jengo lolote na kuligeuza msikiti.
Mtaukataa Sana ukweli,Ila ukweli haufichiki..wazungu wanasilimu,kubwa ni wazungu hufuata hoja
 
ulaya kwa jins walivyo bize na maendeleo kitechnolojia sijui kama ilo ni ukwel. labda wew mwenye uzi ndio unatumia mwanya huu kutusilimisha.

ulaya wazee ndio uhudhuria makanisani kwa wingi, vijana kazikazi na usipofanya kazi ulaya utapahis kama kuzimu.
 
Thibitisha Mungu yupo, thibitisha roho ipo.

Thibitisha habari za kuwapo Mungu na roho si hadithi za kutungwa na watu tu.
Mungu yupo,ukiangalia tu umbile lako unajua mungu yupo...una macho yanayoona tu kwenye mwanga,duniani Kuna mwanga..macho yalijuaje duniani Kuna mwanga hata uwe nayo!?..Kuna mtu kakusanifu,huyo ndiyo mungu,hivyohivyo kwa pua na oksijeni,kinywa na umeng'enyaji...
 
Middle east na afrika ya magharib wengi ni waislamu,nawengi huzamia ulaya na usa kwenda kutafuta ahueni ya maisha.
 
Hii nayo imekaaje ?

efef.jpg
 
ulaya kwa jins walivyo bize na maendeleo kitechnolojia sijui kama ilo ni ukwel. labda wew mwenye uzi ndio unatumia mwanya huu kutusilimisha.

ulaya wazee ndio uhudhuria makanisani kwa wingi, vijana kazikazi na usipofanya kazi ulaya utapahis kama kuzimu.
Google,acha uvivu
 
Middle east na afrika ya magharib wengi ni waislamu,nawengi huzamia ulaya na usa kwenda kutafuta ahueni ya maisha.
Ahueni ya maisha inatokana na rasilimali na matumizi mazuri ya rasilimali,haitokani na imani
 
Mwanzoni Wakati naona nyuzi za namna hizi nilipotezea tu ila sasa mnakela muno. Kila sehemu mumekazana na nadharia hii ambayo hata kwa 20% haijafikia.

Alafu siku hizi nyuzi za hivi JF ndiyo zimetamalaki. Hakuna Mkristo anayeweza kubadili dini kwa ushawishi wa hivi.
Mbona unaongea kishabiki ina maana kama hizi Jf zinaanzishwa na Waislamu tu wkt jana Annunaki alianzisha nyuzi kama hii ya Waislamu wengi kusilimu mpk mimi nikacomment "Kwani wakisto si mnasema hamna habari za kishamba kufuatilia nani au wangapi wamekubali dini yao ?"
 
Nasikitika sana, una uwezo mdogo sana wa kuelewa, hayo majibu hayatishelezi mtu kubadili dini kaka, zipo sababu mbali mbali za binadamu kubadili dini moja kwenda nyingine, ila usilojua ni kwamba wahamiaji wengi wa ulaya ni kutoka nchi zenye asili ya kiarabu ambao ndo wanaongeza population siku hadi siku ilhali wazawaza wana kasi ndogo ya kuongezeka, na ndio mana leo Ufaransa, ujeruman na nchi nyingine idadi ya watu inqongezwa na wahamiaji ambao wengi ni waislam.
Hao Watu walio kwenye pp yako, umewatoa wapi ayseee....[emoji38]
 
Sasa hapi ndiyo umetumia akili ? Kijana nikisema Wakristo mmenyimwa akili katika hili, huwezi kuwafananisha Waislamu na wasio kuwa Waislamu katika umakini wa mambo ya DINI, kufanya hivyo ni kujidanganya.

Sasa lishindikane hilo kwanini ? Wakati hayo ni malipo kwa walio fanya wema ? Kwani kufanya jimai ni jambo baya ? Hapo watu hawazini, hao mabikira 72 ni kwa ajili ya kustareheka nao, peponi hakuna kufanya ibada zaidi ya kumsabihi Allah na kufurabia tulichokipanda, huko ni kustarehe kwa kwenda mbele.

Sasa wapi umetumia akili katika hili kijana ?
Ah kudadadeki imani ya kipimbi kabisa hii yaan mbinguni badala ya kumsifu MUNGU mkanyundane?

Braza tumia akili ya kawaida, mbinguni hakuna matamanio ya kimwili, unakula karanga na supu ya pweza 4 what? Au kule unajaliwa nguvu za kiume zaidi ya mkongo ili iweje? Yaan mabikra 72 ni kunyunda tu 4 what yaan huu ni upimbi kudadadeki.

Yaan mbinguni hakuna furaha inayozidi ile kumsifu MUNGU milele kwasababu utukufu wa MUNGU ni zaidi ya furaha.

Halafu unanishauri nihamie dini ya wapenda ngono. Mtanisamehe sana lakini nyinyi ni mafala.
 
Waislamu wengi wao kama sio wote wana akili kama za Ng'ombe hawawezi kuelewa mambo na kuyanyambua wao hukariri tu mtindo mmoja.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Waislamu wengi wao kama sio wote wana akili kama za Ng'ombe hawawezi kuelewa mambo na kuyanyambua wao hukariri tu mtindo mmoja.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wana akili ndogo sana. Hawa walishashikwa akili na waarabu hawajielewi, kuna baadhi ya maandiko kwenye Quran wakristo hatuyapingi kwasababu kwa tafakuri ya kawaida ni uhalisia unaotokana na fikra ambazo ni matunda ya roho mtakatifu. Hapa kuna utata sana Kwasababu Roho mtakatifu hawamwamini. Kwa tafsiri ya kawaida hawatambui utendaji kazi wa nguvu ya Roho wa MUNGU kwenye maisha yao na ndiyo maana ni mazuzu. MUNGU amewapa kidogo kulingana na imani yao.

Na ndiyo maana wanaongea upuuzi tu. Eti wakristo wengi kwasababu ni matajiri pepo yao ni hapahapa duniani wakienda wakifa ni motoni😁 dah halafu unanishauri niwe muislamu ah kudadadeki hata kwa vipi siendi ng'o. Yaani kuhamia uislamu ni sawa na kujipeleka motoni kwa hiyari yako.
 
Umesema Quran haina ukinzani wenyewe kwa wenyewe. Nakukumbusha kuwa, Quran inasema nguruwe ni haramu pia inaruhusu kula nguruwe ili usife njaa.
Hata mkojo wako unaweza kunywa kama ndio Njia pekee ya kuokoa maisha , lakini katika mazingira ya kawaida huwezi kunywa na haushauliwa kutumia kama kinywaji...Bado haujaona mantiki hapo?

Swali ngamia ni halali kwa misingi ya bibilia? ,kama ni haramu vipi ukapata emergency katika scenario kam hii? ,bibilia na mafundisho ya ukiristo yanataka ufanyaje ?
 
Waislamu wengi wao kama sio wote wana akili kama za Ng'ombe hawawezi kuelewa mambo na kuyanyambua wao hukariri tu mtindo mmoja.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Jadili mada au uwe msomaji tu inasaidia pia sio unatukana tu watu bila mchango wowote ,huo ung'ombe unaouona kwetu unaweza ukawa mmetuzidi mara mbili au tatu .

Jadili mada ,weka hoja mwenye majibu atakujibu that's how we do
 
Mwanzoni Wakati naona nyuzi za namna hizi nilipotezea tu ila sasa mnakela muno. Kila sehemu mumekazana na nadharia hii ambayo hata kwa 20% haijafikia.

Alafu siku hizi nyuzi za hivi JF ndiyo zimetamalaki. Hakuna Mkristo anayeweza kubadili dini kwa ushawishi wa hivi.
JF ni jukwaa huru kila mtu anahaki ya kutoa mawazo yake bila kuvunja amani na Sheria ,Mambo yahusio dini hayakwepeki kizungumzika sababu ndio yaliyo tuzunguka katika jamii yetu
 
QURAN isiyokinzana inasema mungu Aliumba Dunia Kwa siku ngapi?
 
Back
Top Bottom