inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mtaukataa Sana ukweli,Ila ukweli haufichiki..wazungu wanasilimu,kubwa ni wazungu hufuata hojaNingekuelewa ungesema Elimu imechangia kuenea kwa Uislam Ulaya. Kazi nyingi za ujuzi kuanzia Udaktari, Uhandisi na IT zimeshikiliwa na wahamiaji kutoka Egypt, Syria, Iran na hata Pakistani.
Hawa wanalipwa mishahara kutokana na ujuzi wao na ni washika dini haswa. Wakiamua kuweka 10% ya mshahara mwaka mmoja tu katika unoja wao wamenunua jengo lolote na kuligeuza msikiti.