Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414

Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
 
Kampuni ya Tigo yabadili jina kuwa Yas Tanzania mabadiliko hayo yametangazwa Leo Kupitia mkutano wa Leo ulikuwepo live Instagram ya Tigo Tanzania na Kuhudhuriwa na Waziri wa habari Jerry Silaa.
 

Attachments

  • IMG_20241126_153343.jpg
    IMG_20241126_153343.jpg
    12.2 KB · Views: 11
Back
Top Bottom