Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Hii kali ya karne!Sasa kubadili jina ndiyo ongezeko la wateja ama sijaelewa.
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.

View attachment 3162159
Nipo safari naona mzigo unasoma yas nikajua labda ni mnara wa zambia
 
Back
Top Bottom