Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Tigo wamebadili jina kwa Mara ya nne

Kutoka bazi ni bomba mpaka kuwa kuwa YAS

Je wataalamu wa Sheria hii Ina maana gani?

Kuna Siri gani juu ya kubadili majina haya?

Je uwa wanakwepa Nini jina limeshakuwa popular kwa watu na wanaobadilisha na kuleta jina jipya!!

Halotel tu ndio kampuni pekee ambayo haijabadili jina toka ianzishwe!!!
Acha uongo Mara ya nne? Lini waliitwa bazi ni bomba?
3 Tu
1.Mobitel
2.Tigo
3.Yas
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
.....vijana wa hovyo waiuta Nyash!
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Tanzania limekuwa shanba la bibi. Tigo wamevuna wametosheka sasa wanakuja yas. Sawa tu.
 
Ni kesi ya tundu lissu au sababu za kibiashara?!
Sheria ya makampuni inasema hivi na nanukuu kifungu 31(4)
"A change of name by a company under this section shall not affect any rights or obligations of the company or render defective any legal proceedings by or against the company, and any legal proceedings that might have been continued or commenced against it by its former name may be continued or commenced against it by its new name"
 
Back
Top Bottom