Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
ngoja nikale yas tu maana yanga hatoboi hapa
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Wameona tigo haitoshi wameamua kujiita NYASH
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Mmmh kirefu Cha yas ni nn
 
Wamebadili jina? Labda wameona jina la tiGO linatumiwa vibaya, ni tusi, ni mguderi a.k.a msambwane wakaona isiwe taabu, wakabadili jina, japo ni kawaida kwao kubadili brand kila baada ya muda fulani. Walianza na MOBITEL, ikawa BUZZ, kisha TIGO. Au wanakwepa ule msala wa Lissu na wakili wake wa kimataifa kuhusu lile tukio baya?
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Uamuzi mgumu lakini imebidi, Tigo kwa sasa ni tusi, huwezi kumuomba mtu tigo, ni aibu na imekuwa tusi. Ni kawaida kabisa kama jina la kampuni likitumiwa vibaya basi kampuni inaliacha.
Tigo ni tusi, bora limeachwa.
 
Kwamba Kampuni ni mpya haijatengeneza faida isilipe kodi kwa miaka kadhaa najiuliza mbona kampuni hapa Tz zinabadili sana majina???
ukiona hivyo kile kipindi cha msamaha wa kodi walichopewa kimeisha hivyo wangepaswa waanze kulipa kodi kamili..lakini wawekazaji wakwepa kodi watatangaza kupata hasara au kufilisika ili wauze kampuni(watainunua wao wenyewe) kupitia mgongo mwingine au watabadili jina alafu lile jina jipya linapokea upya ule msamaha wa kodi...na hii michezo hata kwenye madini ipo mfano barrick gold baadae ikabadili jina na sasa inaitwa ACACIA yote ni kufaidi ule msamaha wa kodi wakiwa wanapata faida nono..tatizo sheria zetu zimewapa miaka kibao za msamaha wa kodi ilitakiwa msamaha uwe wa mwaka mmoja au miwili tu ila huku shithole coutries watu wanavuna mali bure wanabadili jina kisha wanaendelea walipoishia ilitakiwa wakibadili jina ndo waondoke moja kwa moja sio kupewa nafasi tena.!
 
Attachments

  • Screenshot_20241126-171107.png
    Screenshot_20241126-171107.png
    283.4 KB · Views: 2
Niliwahi kusikia kwamba makampuni kubadili majina mara nyingi kunatokana na ukwepaji wa kodi, hivi ni kweli?
Yeah, jina jipya literally ni kama kampuni mpya, sasa ile ya Kibongobongo ya 5yrs grace period wanayowapa wawekezaji kwenye kodi eti kuvutia investors hapo ndipo mahala pake.
Chenga flani ya kimtindo.
 
Back
Top Bottom