Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

Tigo wamebadili jina kwa Mara ya nne

Kutoka bazi ni bomba mpaka kuwa kuwa YAS

Je wataalamu wa Sheria hii Ina maana gani?

Kuna Siri gani juu ya kubadili majina haya?

Je uwa wanakwepa Nini jina limeshakuwa popular kwa watu na wanaobadilisha na kuleta jina jipya!!

Halotel tu ndio kampuni pekee ambayo haijabadili jina toka ianzishwe!!!
Vodacom ndio haijawahi kubadilika..
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
nataka kufungua kampuni nakuipa jina tiGO je kuna tatizo
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Tigo walipe Kodi kwanza,kabla hawajabadilisha jina.

Nchi ngumu hii
 
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufu

Bora

Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.

Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia
Ila Ile maana PENDWA ibaki vile vile tunavyoiitaga huku Telegram - TIGO.
 
Back
Top Bottom