yaani ovyo kabisa si bora wangeita Yas Pesa..Mixx by Yas ni jina linalojieleza kuwa hawana ubunifu. Itakuwa kahaba la riverside lilipewa muda kidogo kuwatungia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani ovyo kabisa si bora wangeita Yas Pesa..Mixx by Yas ni jina linalojieleza kuwa hawana ubunifu. Itakuwa kahaba la riverside lilipewa muda kidogo kuwatungia.
Nyashini?Naona tigo wanapita mule mule 0715
Nimeshangaa kuona marketing team yao haina ufaham wa kuoanisha biashara na jina la brand au huduma. Ni mtandao wangu pendwa na wana app nzuri lakin kwa hili nimewadharau sana upeo wao.yaani ovyo kabisa si bora wangeita Yas Pesa..
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Wamiliki hawana shida na gharama ila wana shida na jinaWabadili gharama na siyo Jina, hatuna shida na Jina tunashida na ngarama kubwa za bando na vifurushi.
Ina maana yupo mshkaji ambaye amekuja na mkwanja mkubwa kuwashinda wanahisa wa awali(tiGO)? Au ni corporate amalgamation?
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Ndicho kilochotokeaWaseme imeuzwa mmiliki mpya kabadili na label kabisa
Sisi watupunguzie gharama za bundle tuNdicho kilochotokea
Mmiliki wa awali MILICOM aliita brand yake Tigo
Kwahiyo huyu mpya AXIAN ameamua aje na jina lake hawezi tumia brand name ya mmiliki wa awali
Pagumu hapo...si unajua bundle zinapangwa kwa kufuata standards za TCRA ndo maana bundle za mitandao yote zinaendanaSisi watupunguzie gharama za bundle tu
Kwahiyo zile tabia za kupita mgongoni wameacha au wamehama nazo?
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Sio kweli airtel ni nafuuPagumu hapo...si unajua bundle zinapangwa kwa kufuata standards za TCRA ndo maana bundle za mitandao yote zinaendana
Package ya 10k unapata gb ngapi per month?Sio kweli airtel ni nafuu
Y😳😳😳😳😳😳😳A😳😳😳😳😳😳😳S