barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kudadeki, tushauzwa na kubwagwa kwenye roli kingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyash,,,,,,,, hapa mpaka waseme 😂😂😂Hawajakwepa kitu 🤣
Tigo tu nyash
Acha uongo Mara ya nne? Lini waliitwa bazi ni bomba?Tigo wamebadili jina kwa Mara ya nne
Kutoka bazi ni bomba mpaka kuwa kuwa YAS
Je wataalamu wa Sheria hii Ina maana gani?
Kuna Siri gani juu ya kubadili majina haya?
Je uwa wanakwepa Nini jina limeshakuwa popular kwa watu na wanaobadilisha na kuleta jina jipya!!
Halotel tu ndio kampuni pekee ambayo haijabadili jina toka ianzishwe!!!
Tigo mali ya Rostam ina kipi cha kuifanya ya kimataifa?Tumia akili, kampuni ya kimataifa km tigo ibadili jina kwa nyau moja tu km Tundu Lissu? Be serious
.....vijana wa hovyo waiuta Nyash!
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Wamechoka kuhusishwa na mambo ya kula tigoNi kesi ya tundu lissu au sababu za kibiashara?!
Sio kesi, na wao wanajibatiza tu "wala Y-ass"Nadhani wameona jina lao limechafuliwa na wazibua mitaro wala tigo.
Tanzania limekuwa shanba la bibi. Tigo wamevuna wametosheka sasa wanakuja yas. Sawa tu.
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa.
Taarifa zaidi zitaendelea kufuatia.
Sheria ya makampuni inasema hivi na nanukuu kifungu 31(4)Ni kesi ya tundu lissu au sababu za kibiashara?!