Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali
Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani
Baada ya kuitwa X viongozi wengi wa Serikali duniani wameacha kutumia huku wengine wakiwa wamefuta account zao wakidai ni mtandao usio na heshima kama ulivyokuwa ukiitwa zamani Twitter
Tajiri Elon Musk alikosa washauri wazuri wakati alipokuwa akinunua kampuni ya Twitter kama sivyo lengo lake lilikuwa kuharibu kabisa Twitter kama kawaida yake amekuwa mtu wa kutaka kununua makampuni lakini akishafanikiwa anaharibu kwa kuita majina mabaya yasiyofaa
Elon Musk haishii hapo tu, aliwahi kutoa dau la $1B kwa kampuni ya Wikipedia na kuwaeleza kuwa angetaka kununua kampuni hiyo lakini kwa sharti moja la Wikipedia kubadilisha jina na kuitwa Dickipedia
Baada ya kutoa sharti hilo kampuni ya Wikipedia ilisema haiuzwi kwasababu Dick kwa slang ya Marekani ni tusi linamaanisha kiungo cha uzazi cha mwanaume
Elon Musk amekuwa na changamoto kwasababu akili yake nikama inawaza matusi
X nikifupi cha maudhui ya ngono
Dick ni sehemu ya siri ya mwanaume
Kwanini amekuwa mtu wa kuwaza tu matusi???