Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

Mbona Elon X hamaanishi matusi maana ata mtoto wake amempa ilo jina.
 
Huyu kaburu wa south Afrika anajiona ni juu ya Kila mtu hapa Duniani, arrogant alafu mbaguzi anaingilia hata serikali za nchi nyingne Ana twit upumbavu.. Mara nyingne
Kampuni karbu zote anazoendesha baadhi zilikuwepo tayari.. Mkesema yeye ndio tajiri Namba Moja Duniani
Mfalme wa Saudia akawe wapi, wamiliki wa Toyota Japan je? Wamiliki wa apple je?
Dunia inaendeshwa kwa uwongo na Forbes ni waongo wakuu kwa kutunga ranks kutokana maslahi nao wanachukua rushwa pia.
Inatakiwa serikali ya marekani itangaze Nani tajiri Namba Moja Duniani ndio watu wangeshangaa
.. Hata hapa bongo Kuna redio wamiliki wake wamejificha na wanao jitangaza ni zao wanapiga kelele ni zao
Ila serikali haisemi japo inazo document na wanajua ukweli wote.
 
Hao aliowapoteza ni Us, na sababu kubwa ni uchaguzi.

Walivyoona mwamba kaunganisha nguvu na kidume trump watu wakaanza kuleta wivu wa kike, wengine wakahamasishana kuacha kutumia mtandao wa X, nakumbuka wengine walijiapiza trump akishinda wanahama nchi tena mmoja wao ni mtoto wake mwenyewe elon.

Kundi kubwa linaloupinga mtandaoni wa X ni mashoga na masapota wao maana trump kasema akiingia hataki kusikia sijui usenge wa kubadili jinsia.
 
Hela hazijifishi bwashee
 
ushasema neno dick ni kiungo na hii ndio maana yake dick sio tusi inategemea imetumika katika mazingira gani, hata neno mkono, miguu, nywele ni viungo na sio tusi ila inategemea na mazingira utakayo tumia

Mfano wa mazingira yatakayoonesha kwamba mkono ni tusi
 
Wakuje JamiiForums , They are warmly welcomed
 
Elon ana x.com ni mtandao kama paypal unaohusika na malipo tangu mwishoni mwa miaka ya 90 na pia ana kampuni ya SpaceX inayohusika na mambo ya anga.

Kwa kifupi X anatumia kama brand tangu kitambo sana na yeye anatafsiri X kama "eXploration"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…