Mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu waomba kukutana na Rais Samia kuhusu suala la watuhumiwa wa "Uhaini" wa Mwabukusi et al

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana.

My take:
1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia alikuwa briefed na akawapa GO AHEARD

2. Ukimya huu wa Rais Samia kuhusu bandari saga, most likely is not her own making, ni "syndicate" ya washauri wake wa karibu hasa vyombo vya usalama wa taifa kuwa wapuuze usijibu, hivyo kila linalofanyika kuhusu sakata la bandari, "UHAINI" lazima awe notified PRIOR na yeye kutoa go ahead

3. Msisahau ya Mbowe na ugaidi, anarudia mle mle alilokwisha lifanya kwa wengine, ni katika ku consolidate power. Sidhani kama kweli hakuna watu waliomwendea kuwa hili unalolifanya haliko sawa, lkn mkumbuke alivyoshupaza shingo mpaka baada ya miezi 8 ya mateso ya Mbowe.

4. Finally, Samia is becoming AGRESSIVE SUPREME OF POWER and CONSOLIDATION of the same. Ni vigumu kuacha mbinu zozote ambazo washauri wake wanamshauri kuwa zitawanyamazisha wapinzani wake!

5. THIS SAGA IS NOT GOING TO END ANY TIME SOON!
 
Mleta mada unajichanganya! Ebu tulia! Andika vizuri tukuelewe! Unapoleta andiko zito kama hili ujue linasomwa na watu wazito wenye ufahamu na sensitive kwa kila detail! Sasa hapa naona umechanganya maembe, papai, mbuzi, mkaa, mahindi ya kuchoma%£@!#
 
Mbona hakuna kisichoeleweka? Does this need engaging higher mental faculties to understand the concept? sioni lolote ambalo halieleweki mpaka u engage higher mental faculties!

TAKE HOME MESSAGE NI HII: Lolote kubwa kama hilo linapofanyika, ni kuwa Rais amelipa baraka zake, hivyo sidhani kama kwenda kwao kutabadilisha msimamo wake awaangushe washauri wake!
Nikatoa mifano ya Mbowe ....... i kuwa watu hawakwenda kwake, walikwenda wengi lkn ilipita miezi 8.....
 
Wanataka kukutana na Rais kwa nia ipi? wasiende kutafuta misamaha ya maigizo, wao wamewaita Adv. Mwabukusi na Dr. Slaa ni wahaini kwa clip za kutengeneza studio na ma dj wao, wacha wawapeleke mahakamani mbivu na mbichi zikajulikane.

Kama ni kutaka kuwaachia, waachie bila masharti yoyote kwasababu sio wahaini.
 
Kwani hujawasikia kwamba wanampango wa kuipindua Serikali? Je, hujawasikia wakitukana na kuandaa mapinduzi? Eti SAA ya ukombozi ni sasa?

Katika nchi kutofautiana kifikra ni jambo la kawaida kabisa na kila wazo la mtu lazima liheshimiwe na hakuna ubishi kwamba suala la Mkataba lilistahili kujadiliwa na kupatiwa muafaka lakini baada ya muafaka kukosekana ilikuwa sahihi kupeleka jambo hili Mahakamani hivyo basi hukumu ya mahakama ni lazima iheshimiwe kama kuna kundi halikubaliani na maamuzi ya mahakama basi ni kukata rufaa na siyo kuitisha maandamano ya kupindua Serikali hiyo haikubaliki na wanastahili hicho wanachokipata kwakuwa haki jinai hawakumaanisha hata hawa wenyekutenda makosa makubwa ya jinai.

Kosa kubwa lililofanywa ni kufikiri mwendazake alikosea kuwashughurikia watu wa aina hii la hasha hawa ni kama magugu yanayoota kwenye shamba la mazao ni lazima uyang'oe kwanza ili upate mavuno bora haijalishi ni nguvu gani utaitumia katika kuyang'oa na mwisho wake ni vizuri ukayachoma moto.

Hawa wanajidanganya kwamba wao wana akili kubwa kuliko watu wote wanahamu nchi idumae ili wapate namna ya kujaguliwa wanasahau kwamba wanabomoa Nyumba ambayo wanatakiwa kuishi.
 
Ignored!
 
Wakitaka kukutananae labda wajisajili kama timu ya mpira. Anapenda michezo huyo
 
Wewe Jamaa unaakili kweli??? Pumbafuuu Kabisa Wewe
 
Ni mapema mno. Wasubiri Police wafanye kwanza uchunguzi wao.
 
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana.

My take:
1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia alikuwa briefed na akawapa GO AHEARD

2. Ukimya huu wa Rais Samia kuhusu bandari saga, most likely is not her own making, ni "syndicate" ya washauri wake wa karibu hasa vyombo vya usalama wa taifa kuwa wapuuze usijibu, hivyo kila linalofanyika kuhusu sakata la bandari, "UHAINI" lazima awe notified PRIOR na yeye kutoa go ahead

3. Msisahau ya Mbowe na ugaidi, anarudia mle mle alilokwisha lifanya kwa wengine, ni katika ku consolidate power. Sidhani kama kweli hakuna watu waliomwendea kuwa hili unalolifanya haliko sawa, lkn mkumbuke alivyoshupaza shingo mpaka baada ya miezi 8 ya mateso ya Mbowe.

4. Finally, Samia is becoming AGRESSIVE SUPREME OF POWER and CONSOLIDATION of the same. Ni vigumu kuacha mbinu zozote ambazo washauri wake wanamshauri kuwa zitawanyamazisha wapinzani wake!

5. THIS SAGA IS NOT GOING TO END ANY TIME SOON!
Hao watetezi wa Haki walikuwa wapi kuwaita au hata kukemea pale Dk Samia Suluhu Hassan alivyokuwa akitwezwa, kutunwa na kudhalilishwa kwa kila aina ya kejeli akiitwa Mwizi, kichaa. akili matope n.k.
Ushauri wangu wakae kimya kama walivyokaa kimya kabla. After all Raisi anahusikaje? Wanashikiliwa na vyombo vya usalama. Sijasikia Raisi akitoa kauli yoyote kuhusiana na kushikiliwa kwa hau wahalifu
 
Sikulaumu, understanding yako imeishia hapo..... kuna mabo ambayo huwezi kuyafanya bila rais kujua!
 
Kwani hujawasikia kwamba wanampango wa kuipindua Serikali? Je, hujawasikia wakitukana na kuandaa mapinduzi? Eti SAA ya ukombozi ni sasa?

Katika nchi kutofautiana kifikra ni jambo la kawaida kabisa na kila wazo la mtu lazima liheshimiwe na hakuna ubishi kwamba suala la Mkataba lilistahili kujadiliwa na kupatiwa muafaka lakini baada ya muafaka kukosekana ilikuwa sahihi kupeleka jambo hili Mahakamani hivyo basi hukumu ya mahakama ni lazima iheshimiwe kama kuna kundi halikubaliani na maamuzi ya mahakama basi ni kukata rufaa na siyo kuitisha maandamano ya kupindua Serikali hiyo haikubaliki na wanastahili hicho wanachokipata kwakuwa haki jinai hawakumaanisha hata hawa wenyekutenda makosa makubwa ya jinai.

Kosa kubwa lililofanywa ni kufikiri mwendazake alikosea kuwashughurikia watu wa aina hii la hasha hawa ni kama magugu yanayoota kwenye shamba la mazao ni lazima uyang'oe kwanza ili upate mavuno bora haijalishi ni nguvu gani utaitumia katika kuyang'oa na mwisho wake ni vizuri ukayachoma moto.

Hawa wanajidanganya kwamba wao wana akili kubwa kuliko watu wote wanahamu nchi idumae ili wapate namna ya kujaguliwa wanasahau kwamba wanabomoa Nyumba ambayo wanatakiwa kuishi.
Thinking capacity kweli imeishia hapo kweli?
 
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana.

My take:
1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia alikuwa briefed na akawapa GO AHEARD

2. Ukimya huu wa Rais Samia kuhusu bandari saga, most likely is not her own making, ni "syndicate" ya washauri wake wa karibu hasa vyombo vya usalama wa taifa kuwa wapuuze usijibu, hivyo kila linalofanyika kuhusu sakata la bandari, "UHAINI" lazima awe notified PRIOR na yeye kutoa go ahead

3. Msisahau ya Mbowe na ugaidi, anarudia mle mle alilokwisha lifanya kwa wengine, ni katika ku consolidate power. Sidhani kama kweli hakuna watu waliomwendea kuwa hili unalolifanya haliko sawa, lkn mkumbuke alivyoshupaza shingo mpaka baada ya miezi 8 ya mateso ya Mbowe.

4. Finally, Samia is becoming AGRESSIVE SUPREME OF POWER and CONSOLIDATION of the same. Ni vigumu kuacha mbinu zozote ambazo washauri wake wanamshauri kuwa zitawanyamazisha wapinzani wake!

5. THIS SAGA IS NOT GOING TO END ANY TIME SOON!
Ardhi ya nyumbani au kifo.

Wakosoaji mujiandae kulambishwa mchanga na mitutu ya kina Wambura soonest
 
Back
Top Bottom