Mtangazaji Adam Mchomvu amwomba radhi JPM kwa kutompigia Kura mwaka jana

Nikekua nazijua nisinge hoji. Wewe mwenyewe hujui.

Kama unajua zitaje hapa.
haya Magufuli katwaa hekari 33 za waziri Sumaye ..wananchi wanajikatia maeneo
kama upo karibu na huna ardhi kachangamkie dili kuleeeee
 
amechoka na kazi ya utangazajia anatafuta ukuu wa wilaya na ukurugenzi boya huyu! si alishajua ukimsifia mkuu unapata cheo bwege sana huyu kama kayaongea hayo kweli
 
Yaani kila mtangazaji anataka awe DC , DED au DAS ..hakyamungu na hv vyeti ni kujitoa ufahamu tu ..mta pass wengi sana utawala huu...
 
Atapata nafasi bado zipo nyingi tu..
Inaeleweka birthday zote za magogoni huwa ni zao kwahiyo lazima ajambejambe kama hivyo
 
Hivi bado kuna wilaya hazijapangiwa wakuu wa wilaya au wakurugenzi!!?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Adam Mchovu ni mzalendo wa nchi hii
 
Ni vyema kuwa mkweli na muwazi....kuna kagenge kalitaka kuwapoteza vijana....good thing wameanza kujitambua
Halo ka hence kamebakiza mkia hapa JF, watu 6 wenye Id 30 kila mmoja!
 
We jamaa ni muongo hakumtaj lowasa hakutaja safari ya matumaini hakutaja ukawa.
Mengi uliyoandika hakuyasema.
Kweli tz kuna viwanda vya uongo
 
Alipoona mh mkuu wa wilaya hudson kamoga kapata shavu nae anajifanya kujipendekeza...

Kwan hakuona hiyo kula ya magufuli
 
Ni kweli maana ndani ya mwaka mmoja wahitimu wa vyou mbali mbali hawana ajira... Sasa ikifika miaka mitano ni wangapi watakua hawana ajira...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…