Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

rip
 
Addiction pekee inayonisumbua ni kupenda punani
Punani kwa sana inaua
Pombe nyingi sana inaua
Sigara ukivuta kwa kiasi haina madhara

Niambie mlevi gani wa ngano anaefikisha Miaka 98 karne hii? Wavuta sigara kibao wanagonga miaka 98/99 hawaumwi presha kisukari sijui nini

NB: Siwasapoti wavuta Sigara Ila Pombe na Sigara kwangu Mimi Bora Sigara SIO Pombe, Sigara haileweshi Pombe inatibua ubongo inatibua Moyo inapandisha mapigo ya moyo inapandisha msukumo wa Damu
 
Wenyewe wanakwambia piga vyote kwa pamoja ubalance mzani, piga gambe na fegi.

Fegi sijui inabana mabafu, gambe inatanua.

Pombe haiui ila ulevi ndo unaua, ukiwa unakunywa kwa kiasi na unakula fresh haitakudhiru.

Mshua alikula 70+ yrs na alianza kugambeka akiwa bado chalii tu ila sijawahi kumuona akimiss msosi hata kwa bahati mbaya, milo yote 3.

Sasa walevi wengi wa kisasa wanasema wanakula ila deepdown hawali, mtu anakula vimishkaki viwili na ndizi mbili anaenda kuchapa Vant.

Na kingine walevi wengi wanaendeshwa na tamaa, mtu anajua hajala vizuri ila akiitwa kijiweni akale pombe anaenda, walevi wengi hawajui kukataa pombe.
 


Niliwahi kuandika Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-Jbrnyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.
Rip Gardner G Habash, Kapitain
Paskali
 
Pole sana brother.
 
No need to feel sorry for his inevitable and ultimate demise, given the conscious choices he made in life and the fact that he was an obviously very intelligent individual.
 
Hata hii kidogo tu? Mimi kila siku jioni baada ya mihangaiko mingi ya mchana huwa natulia mahali,nagonga k vant moja ndogo na maji lita,itanipa shida pia? Nimeogopa sana.
K- vant inasaidia nini au ina ladha gani? Naomba unieleweshe
Huwa mnasema pombe chungu, kwanini mnakunywa?
Tuepuke vitu vinavyoepukika mfano pombe
Kwanini tusiopt maji ukizidiwa piga mtindi
 
Kabisa mkuu, matumizi ya dawa yoyote Kwa muda mrefu sio jambo zuri Kwa afya .
 
Hivi kuna mtu amewahi kupelekwa JKCI kwa shida ya moyo akapona?

Shida ni nini?

Utaalamu mdogo au tunachelewa kwenda hapo?

Rest easy Gardner.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…