Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu lakin utakufa tuu. Hautaishi milele.Katika Addictions ambazo nashukuru Mungu hazijanidaka ni pombe na sigara. Sijawahi kuonja any
ripMtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Mwisho wa Gambe kwa sana SIO mzuri, ngano Ina madhara mengi sana mwilini,kuna watu wanakula gambe ila hadi leo wako sawa sana tena wengi kuliko wanao pata madhara
Addiction pekee inayonisumbua ni kupenda punaniKatika Addictions ambazo nashukuru Mungu hazijanidaka ni pombe na sigara. Sijawahi kuonja any
Punani kwa sana inauaAddiction pekee inayonisumbua ni kupenda punani
Addiction pekee inayonisumbua ni kupenda punani
Wenyewe wanakwambia piga vyote kwa pamoja ubalance mzani, piga gambe na fegi.Punani kwa sana inaua
Pombe nyingi sana inaua
Sigara ukivuta kwa kiasi haina madhara
Niambie mlevi gani wa ngano anaefikisha Miaka 98 karne hii? Wavuta sigara kibao wanagonga miaka 98/99 hawaumwi presha kisukari sijui nini
NB: Siwasapoti wavuta Sigara Ila Pombe na Sigara kwangu Mimi Bora Sigara SIO Pombe, Sigara haileweshi Pombe inatibua ubongo inatibua Moyo inapandisha mapigo ya moyo inapandisha msukumo wa Damu
hakuna atakaye ishi milele unywe usinywe utakufa tuMwisho wa Gambe kwa sana SIO mzuri, ngano Ina madhara mengi sana mwilini,
Cc: Prof Janabi
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...Wanabodi,
Jee Roho za Waliokufa Zinaweza Kuwaita Walio Hai?.
Jibu ni yes, ndio maana kwa baadhi ya mila, wamama wajawazito hawaruhusiwi kwenda makaburini, ili waliolala wasije wakaviita vichanga, na matokeo yake vikaitika na kupata still born.
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa Soul Mates, na hii ndio subject matter ya uzi wangu huu.
Hitimisho.
Kwa vile kwa sisi binadamu wote hapa duniani tuko safari tuu, kuelekea kwenye makao ya milele na maisha ya milele, tusiwalilie waliotangulia na kuhuzunika saana kwa kuwakosa, tuhuzunike kibinaadamu, kwa kulia kwa kiasi tuu, kisha maisha ni lazima yaendelee, bali pia tujiangalie sisi wenyewe, kwa nafsi zetu, jee tumejiandaa kuitika wito wakati siku yetu na saa yetu ikitakapofika?.
Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa.
RIP Ephraim Kibonde na Ruge Mutahaba na wengine wote waliotangulia, nyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.
Paskali
Unaweza kuwa na mke akakimbia unapopata changamoto ya afya au kiuchumi.Ana mke? Mda huu uitaji wa mke unaongezeka?!?! Wazee wa kataa ndoa kuna kuumwa eti.
Unaweza kuwa na mke akakimbia unapopata changamoto ya afya au kiuchumi.
Pole sana brother.Mimi pia Ni shuhuda niliweka Uzi wangu wa ajari humu..
Still nipo kwenye mazoezi ya kukanyagia mguu wangu ndio najifunza Tena kusimama na kutembea with CRUTCHES Kama mtoto
For sure unayo yaeleza wife ameyafanya, anayafanya na Mara ya mwisho kuyafanya Ni siku ya Jana amekua msaada Sana mkuu vijana Hawa tuwaelimishe
Mimi nilijiona imara Sana na sikuwai waza Wala kujua naweza pata ajari Wala kuja kuvunjika mpaka Sasa siwezi kufanya movement kutembea so vijana wanasumbuliwa na KIBURI cha uzima
Still nipo na recovery wiki hii niweweza kulala kiubavu ubavu pande zote mbili kulia na kushoto owky ngoja niamke nikafanye mazoezi ya kukanyagia mguu kwa kutembea with CRUTCHES
NB.
Upo sahihi na yote uliyo yaeleza Ni ya kweli na Mimi Ni mhanga wa uliyo yapitia vijana kataa ndoa wajifunze
Asante Sana kakaPole sana brother.
Unamanisha ninachofikiliaUKIMWI unatesa, UKIMWI unaua.
Ana mke? Mda huu uitaji wa mke unaongezeka?!?! Wazee wa kataa ndoa kuna kuumwa et
Tabibu na wakunga wafanye kazi gani?
K- vant inasaidia nini au ina ladha gani? Naomba unielewesheHata hii kidogo tu? Mimi kila siku jioni baada ya mihangaiko mingi ya mchana huwa natulia mahali,nagonga k vant moja ndogo na maji lita,itanipa shida pia? Nimeogopa sana.
Kabisa mkuu, matumizi ya dawa yoyote Kwa muda mrefu sio jambo zuri Kwa afya .Msipende sana kusingizia pombe hizo ni athari za dawa za kufubaza virusi vya ukimwi.miaka 15 yote unatumia vidonge unategemea nini? Unadhani figo yako na maini yatakuwa salama?
Kuna watu nawajua tangu utotoni wanakunywa pombe mpaka sasa wapo na miaka 80,75,70