Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Umri achana nae mkuu.Tofauti yangu na wewe ni moja tu, umri na experience, Hakuna haraka, utakuwa utanielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri achana nae mkuu.Tofauti yangu na wewe ni moja tu, umri na experience, Hakuna haraka, utakuwa utanielewa.
Inapatikana wap ii nipo tabora.Mkuu
Acha Na Pombe Tunazoziita Inueni Mioyo, Twainua Kwa Bwana
Ambazo Ukinywa Unakunja Sura Mdomo Unanuka
Piga Hii Zabibu Kwa Afya Yako View attachment 2954751View attachment 2954751View attachment 2954751
Kwan mwanamke aumwi🤔?Saiv kuna kausha damu tu wake wameisha.Very theoretical hearsay...nimeshauguza sana muhimbili...wanaouguzaga ni wake, sijawahi ona mama anamuuguza mwanae pale (nikimaanisha watoto wa kiume watu wazima ambao wanatakiwa kuwa na wenza). Kwanza manesi na madaktari watu wazima watakusema we.mgonjwa mpk uelewe. Kuna mmoja alimpelekaga mama ake kufanyiwa kipino cha Ecg/echo kama sijakosea...yule mtaalamu alimsema kwamba wewe huna any woman in your life wa kumleta mama ako, sasa anatakiwa atolewe nguo, utamtoa wewe?? Na hata kama mmepishana na mwenza what abt sisters, cousin sisters, yule kaka alinywea sana. Sema yule mtaalam akaomba nesi amsaidie.
Familia ni muhimu sana kwa both mwanamke na mwanaume maana kuna maradhi sasa pale hospital inasaidia sana your counterpart akiwepo..amini kwamba. Kuna siku niliingia kumuona mgonjwa flani pale Sewahaji, alikua amekatwa mikono....lakin ni mke wake ndo alikuwa anamsaidia sana. Imagine asingekuepo...hatujafa hatujaumbika, tusipige kelele sana leo kisa tuna uzima..we never know!!!!

Ni balozi wa bia serengeti awe mzima kivipi.Mgonjwa ni mlevi sana ....ila pole yake...... toka nimejua huyu wana kuanzia mida ya saa moja usiku sijawahi kumuona akiwa mzima
Dubaiiiiiii..... #In kibs voice😂😂Kuna kipindi capt G na Kibs ilikua wakitoka tu kwa kipindi saa 1 usiku ni tungi mpk 12 alfajiri
Kwa unywaji wake wa pombe! Sijui kama ini,figo na mapupu yake yapo sawaMtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).
Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.
Sijajua umri wako ila mke ni muhimu sana MUNGU hakukosea kuwaumba mwanamke na mwanaume,nilipata ajali nilivunjika mguu na bega nilikuwa siwezi kufanya chochote ila wife alimaliza kila kitu.Yaanu unaoa ili ukiumwa mkeo akutibu, au! Ndoa ni upumbavu.
Unamaanisha Pombe kupita kiasi yaani overdrinking 24/7 kwa 365 for yearsUngekuwa unafanya kazi hapo muhimbili kitengo cha moyo ungeujua ukweli wote
Pombe lazima mwisho wake uwe mbaya I speak from my experience
Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.Ukiwa na mke ndio unapona haraka?
Mimi pia Ni shuhuda niliweka Uzi wangu wa ajari humu..Sijajua umri wako ila mke ni muhimu sana MUNGU hakukosea kuwaumba mwanamke na mwanaume,nilipata ajali nilivunjika mguu na bega nilikuwa siwezi kufanya chochote ila wife alimaliza kila kitu.
Nikienda haja kubwa ananisafisha,ana niogesha anapika..tangu naumwa mpaka nimepona sijawahi kusumbua ndugu wala marafiki kila kitu alikuwa anamaliza wife.
NB:wewe unaweza kukubali ukienda haja kubwa tundu lako la kutolea haja kubwa lishikwe na mwanaume mwenzako? Si fedhea hiyo?
Mkuu,Bora mimi wa glass 1 tu ya wine baaaaasi
Ni rahisi sana mwanamke asiye na mume kupata wa kumuuguza kuliko mwanaume asiye na mke. Akiwa na mtoto wa kike atamuuguza, akiwa na rafiki wa kike atamuuguza, akiwa na mtoto wa kiume mwenye mke au mpenzi atamuuguza.Mke akiumwa huwa anauguzwa na nani?
Umeandika kitoto sana.Ni rahisi sana mwanamke asiye na mume kupata wa kumuuguza kuliko mwanaume asiye na mke. Akiwa na mtoto wa kike atamuuguza, akiwa na rafiki wa kike atamuuguza, akiwa na mtoto wa kiume mwenye mke au mpenzi atamuuguza.
We jiulize, katika marafiki zako wote wa kiume, nani anaweza kuja hospitali kufuta kinyesi chako? Mtoto wako wa kiume ni sawa kukufuta makalio? Wa kike? Katika hali kama hii wanaume tunamhitaji mke esp kama pesa ni chache.
Unapiga k vant bila kula?Hata hii kidogo tu? Mimi kila siku jioni baada ya mihangaiko mingi ya mchana huwa natulia mahali,nagonga k vant moja ndogo na maji lita,itanipa shida pia? Nimeogopa sana.
Mkuu,Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.
Binadamu sisi tunaviburi na wabishi tukiwa wazima tu ila kuna hali zikitukuta tunakuwa dhaifu, tunatia huruma.