Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

Very theoretical hearsay...nimeshauguza sana muhimbili...wanaouguzaga ni wake, sijawahi ona mama anamuuguza mwanae pale (nikimaanisha watoto wa kiume watu wazima ambao wanatakiwa kuwa na wenza). Kwanza manesi na madaktari watu wazima watakusema we.mgonjwa mpk uelewe. Kuna mmoja alimpelekaga mama ake kufanyiwa kipino cha Ecg/echo kama sijakosea...yule mtaalamu alimsema kwamba wewe huna any woman in your life wa kumleta mama ako, sasa anatakiwa atolewe nguo, utamtoa wewe?? Na hata kama mmepishana na mwenza what abt sisters, cousin sisters, yule kaka alinywea sana. Sema yule mtaalam akaomba nesi amsaidie.

Familia ni muhimu sana kwa both mwanamke na mwanaume maana kuna maradhi sasa pale hospital inasaidia sana your counterpart akiwepo..amini kwamba. Kuna siku niliingia kumuona mgonjwa flani pale Sewahaji, alikua amekatwa mikono....lakin ni mke wake ndo alikuwa anamsaidia sana. Imagine asingekuepo...hatujafa hatujaumbika, tusipige kelele sana leo kisa tuna uzima..we never know!!!!
Kwan mwanamke aumwi🤔?Saiv kuna kausha damu tu wake wameisha.
 
Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu).

Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha XXL, Kaptein amesema alianza kujisikia vibaya wiki chache zilizopita baadaye akapelekwa Hospitali ambako aligundulika kuwa na shida ambayo ilisababisha alazwe JKCI.

Kwa unywaji wake wa pombe! Sijui kama ini,figo na mapupu yake yapo sawa
 
Msipende sana kusingizia pombe hizo ni athari za dawa za kufubaza virusi vya ukimwi.miaka 15 yote unatumia vidonge unategemea nini? Unadhani figo yako na maini yatakuwa salama?
Kuna watu nawajua tangu utotoni wanakunywa pombe mpaka sasa wapo na miaka 80,75,70
 
Watanzania tumekaa kama mabundi, nchi pekee mgonjwa anasimangwa na ukisoma humu utasema nchi hii mgonjwa mmoja tu kalazwa mahututi Capt G, jana kapiga picha yuko Hosp mwenyewe ana chat tu. Hospital zimejaa mpaka vitanda havitoshi. Tuwaombee wagonjwa wote tuache kusimanga wagonjwa.
 
Yaanu unaoa ili ukiumwa mkeo akutibu, au! Ndoa ni upumbavu.
Sijajua umri wako ila mke ni muhimu sana MUNGU hakukosea kuwaumba mwanamke na mwanaume,nilipata ajali nilivunjika mguu na bega nilikuwa siwezi kufanya chochote ila wife alimaliza kila kitu.
Nikienda haja kubwa ananisafisha,ana niogesha anapika..tangu naumwa mpaka nimepona sijawahi kusumbua ndugu wala marafiki kila kitu alikuwa anamaliza wife.
NB:wewe unaweza kukubali ukienda haja kubwa tundu lako la kutolea haja kubwa lishikwe na mwanaume mwenzako? Si fedhea hiyo?
 
Ungekuwa unafanya kazi hapo muhimbili kitengo cha moyo ungeujua ukweli wote

Pombe lazima mwisho wake uwe mbaya I speak from my experience
Unamaanisha Pombe kupita kiasi yaani overdrinking 24/7 kwa 365 for years

Swali fikirishi Kama? Pombe Ni janga Kama inavyo tanabaisha huoni Kama Kuna haha ya serikali kuitaja waziwazi Pombe kua Ni moja ya maadui wa taifa au janga la kitaifa Kama ilivyo kwa ukimwi na likewise

Nawasilisha
 
Ukiwa na mke ndio unapona haraka?
Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.

Binadamu sisi tunaviburi na wabishi tukiwa wazima tu ila kuna hali zikitukuta tunakuwa dhaifu, tunatia huruma.
 
Sijajua umri wako ila mke ni muhimu sana MUNGU hakukosea kuwaumba mwanamke na mwanaume,nilipata ajali nilivunjika mguu na bega nilikuwa siwezi kufanya chochote ila wife alimaliza kila kitu.
Nikienda haja kubwa ananisafisha,ana niogesha anapika..tangu naumwa mpaka nimepona sijawahi kusumbua ndugu wala marafiki kila kitu alikuwa anamaliza wife.
NB:wewe unaweza kukubali ukienda haja kubwa tundu lako la kutolea haja kubwa lishikwe na mwanaume mwenzako? Si fedhea hiyo?
Mimi pia Ni shuhuda niliweka Uzi wangu wa ajari humu..

Still nipo kwenye mazoezi ya kukanyagia mguu wangu ndio najifunza Tena kusimama na kutembea with CRUTCHES Kama mtoto

For sure unayo yaeleza wife ameyafanya, anayafanya na Mara ya mwisho kuyafanya Ni siku ya Jana amekua msaada Sana mkuu vijana Hawa tuwaelimishe

Mimi nilijiona imara Sana na sikuwai waza Wala kujua naweza pata ajari Wala kuja kuvunjika mpaka Sasa siwezi kufanya movement kutembea so vijana wanasumbuliwa na KIBURI cha uzima

Still nipo na recovery wiki hii niweweza kulala kiubavu ubavu pande zote mbili kulia na kushoto owky ngoja niamke nikafanye mazoezi ya kukanyagia mguu kwa kutembea with CRUTCHES

NB.
Upo sahihi na yote uliyo yaeleza Ni ya kweli na Mimi Ni mhanga wa uliyo yapitia vijana kataa ndoa wajifunze
 
Mke akiumwa huwa anauguzwa na nani?
Ni rahisi sana mwanamke asiye na mume kupata wa kumuuguza kuliko mwanaume asiye na mke. Akiwa na mtoto wa kike atamuuguza, akiwa na rafiki wa kike atamuuguza, akiwa na mtoto wa kiume mwenye mke au mpenzi atamuuguza.

We jiulize, katika marafiki zako wote wa kiume, nani anaweza kuja hospitali kufuta kinyesi chako? Mtoto wako wa kiume ni sawa kukufuta makalio? Wa kike? Katika hali kama hii wanaume tunamhitaji mke esp kama pesa ni chache.
 
Umeandika kitoto sana.

Umewahi kwenda hospitali ukaona wanaume wasio na wake wakakosa watu wa kuwauguza?

Vipi wale ambao wake zao walikufa?
 
Ukiwa na mke ambaye ni sahihi kuna mambo kama kuoga, kufutwa ukijisaidia, kubadilishwa nguo, faraja n.k, vitu ambavyo kama huna mke na huna pesa za kumlipa nesi itabidi avifanye either mama, ndugu au rafiki.

Binadamu sisi tunaviburi na wabishi tukiwa wazima tu ila kuna hali zikitukuta tunakuwa dhaifu, tunatia huruma.
Mkuu,
Nimeshuhudia Ile siku nipo kwenye kitanda nasukumwa hapo nilisha fungwa p.o.p naenda kupigwa x-ray kuangalia Kama mvunjiko ndani ya p.o.p Kama upo sawa

Nikajarb kujinyanyua mguu wangu maana nilikua bado sijakubali Hali nililia Kama mtoto mdogo maana sikujiweza kwa chochote

Nenda kaangalie wagonjwa hospital wa hizi ajar wamekatwa miguu Wana antenna wengine hawana ndugu yaan niliona mengi..

Nina wasiwasi sikuizi about LIFE for sure niwaambie kitu chochote muda wowote ukiwa hai kinaweza kukutokea
 
Back
Top Bottom