Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

Uchaguzi 2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

..alichokifanya TL, kuamua kurejea nchini sio jambo la kawaida.

..TL ana mapungufu yake kama walivyo wanadamu wote.

..lakini uamuzi wake wa kurejea nchini ni uthibitisho kwamba ni jasiri, na ana nia ya dhati ya kupigania haki na demokrasia nchini.
Shetani at work.
 
Sasa hoja ya tunajenga kwa pesa za ndani Inatoka wapi
Sasa unafikiri wanajenga kwa pesa za mjomba ako!!!


Iwe kwa mkopo haibadiliki chochote, kwasababu bado ni pesa za watanzania! Ikijenga kwa Mkopo hiyoulichokijenga ni chako na utakuwa umejenga kwa nguvu zako! Kwani huo Mkopo utalipwa na aliyekukopesha?


Ni pesa zetu za ndani ni pesa za Watanzania haijalishi hata kama ni mkopo
 
Kumpa Mh.Lissu platform katika vyombo vya habari ni jambo jema.Lakini inapendeza na kuleta afya MH.Lissu akakutana na Mh.JPM.Itakuwa afya kwa taifa.
 
Back
Top Bottom