900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
angalau sasa umetoa nusu ya ujinga,endeleea hivohivoWe mpumbavu,unadhani nimesikiliza robo ya clip?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalau sasa umetoa nusu ya ujinga,endeleea hivohivoWe mpumbavu,unadhani nimesikiliza robo ya clip?
Sijawahi kuwa muumini wa hiyo miradi ya kijanja janja ambayo haikaguliwi na CAG.Mnao shabikia miradi mikubwa mumeona Nchi inavyo pigwa?.
Shetani at work...alichokifanya TL, kuamua kurejea nchini sio jambo la kawaida.
..TL ana mapungufu yake kama walivyo wanadamu wote.
..lakini uamuzi wake wa kurejea nchini ni uthibitisho kwamba ni jasiri, na ana nia ya dhati ya kupigania haki na demokrasia nchini.
Sasa unafikiri wanajenga kwa pesa za mjomba ako!!!Sasa hoja ya tunajenga kwa pesa za ndani Inatoka wapi