Kweli kabisa aisee.Kwa hiyo kutoka jana jioni mpaka leo amelalia kitanda cha baridi...!!!?
duh maisha haya !!!!
alitoka asubuhi kwake salama kabisa na chai akanywa kwa matarajio ya kurudi kwa mkewe jioni.....
wakuu tumuombe Mungu jamani maisha ni mafupi sana....
Dereva alikuwa amelewa, sad“Inaonekana dereva alikuwa amelewa wakati akiendesha gari liliacha njia na kuingia mtaroni eneo la Tanganyika Packers karibu na sehemu ambayo Mchungaji Boniphace Mwamposa huwa anatoa neno, mtangazaji (Fredwaa) alifariki ila dereva tunamshikilia,” amesema Kingai.
Mumewe alikuwa anampost Sana Instagram...Sijawahi mwona Rahabu hata kwa picha,pamoja na kumsikiliza sn
Jana nimebishana Sana na mtu alikuwa anasema kulingana na mazingira ya ajali kuna uwezekano marehemu alikuwa maji...yaani nimebisha fredy hanywi kabisa ...labda gadna ndio Cha pombe pale clouds....usiku naona taaarifa awali kwamba kuna viashiria dereva alikuwa amelewa....daah!!Nilisikiaga kuwa jamaa anapenda sana sana ulabu[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Magasha naona kaweza kukimuduje huu ni uungwana???? Hakika jamaa alikuwa fundi sanaaa
Tunaweza fia vifuani mwa michepuko kama Mungu kapanga hivyo. Au nasema uwongo ndugu zangu?Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Sijui na sisi tumepangiwa vipi?
R. I. P
Duuh...ila kifo ni kifo tuJana nimebishana Sana na mtu alikuwa anasema kulingana na mazingira ya ajali kuna uwezekano marehemu alikuwa maji...yaani nimebisha fredy hanywi kabisa ...labda gadna ndio Cha pombe pale clouds....usiku naona taaarifa awali kwamba kuna viashiria dereva alikuwa amelewa....daah!!
Kama nilimsikia Azam tv hivi karibuni, nafikiri alihamiaga Azam maana nilisikia RFA/Sahara Media ilifilisika kiasi cha kushindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi.Unamanisha rahab fred ? Wa rfa
Ni mwenyeji wa wapi huyu?Alisomaga Old Moshi sec enzi hizo
Kwao ni sehemu gani?Na baba yake mzee Fidelis Masawe kafariki miaka ya juzijuzi tu. Kweli kifo hakina huruma.