Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Nurdin Suleiman hakuna kitu kinaniboa kama unatangaza mpira halafu unasifia wanawake wazuri jukwaani.. Totally unprofessional
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nurdin Suleiman hakuna kitu kinaniboa kama unatangaza mpira halafu unasifia wanawake wazuri jukwaani.. Totally unprofessional
Nakubaliana na weweNurdin Seleman ndio mtangazaji bora kabisa kwa taarifa yako, style yake ya utangazaji inatukosha wengi, jana niliposikia anatangaza yeye nikaangalia gemu ya saa 5 azam sports 3, kumbuka mechi zote za afcon naangaliaga Dstv channel 222.Nikimsikia Nurdin nard azam tv.Acha wivu wa kike.
Hiuo kujua historia ya wachezaji ni kigezo kimojawapo kilimfanya apate hiyo ajira.Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu. Yaani utafikiri yupo kwenye kipindi cha majadiliano.
Too much boring.
Halafu hata tone/sauti yake haiko kiutangazaji wa soka, utafikiri anaimba shairi
You are too local in thinking with low IQHiuo kujua historia ya wachezaji ni kigezo kimojawapo kilimfanya apate hiyo ajira.
Unatangazaje mpira wakati hujui abc za timu na historia za wachezaji.
Hiyo ndiyo maana halisi ya kuujua mpira pia.
Na angalao na sheria za mpira uzijue kidogo.
Punguza akili nyingi na ujuaji wa kibabalevo na kimwijaku.
TBC nako yaleyale, akitangaza yule Nazareth na mute sautiWapi hapo washa TBC
Nampenda sana Nazareth Upete vile anaongea kama hana meno mdomoni na kiarabu uchwara basi mimi hoi .Siyo kabla ya mechi ni kwamba wanafuatilia soka haswa, Mimi namkubali sana Nurdin Seleman pamoja na Nazareth Upete wa TBC 1 Hawa wanachambua haswa
Uko sahihi. Halafu kuna siku mchezaji aliumizwa wao wakawa wanasema ni “janja janja” ya wachezaji kujifanya wameumia kumbe hata hawajaguswa.Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu. Yaani utafikiri yupo kwenye kipindi cha majadiliano.
Too much boring.
Halafu hata tone/sauti yake haiko kiutangazaji wa soka, utafikiri anaimba shairi
Kwahiyo high IQ ni kushangaa mtangazaji kuchambua mechi na wachezaji wakati wa kutan gaza.You are too local in thinking with low IQ
Katafute mechi zenye watangazaji wanaotangaza jinsi wewe unataka.TBC nako yaleyale, akitangaza yule Nazareth na mute sauti
Ana bore sana! Sauti hovyo, ujuaji mwingi aargh.
Nakazia, wale wa tbc kazi yao kutangaza kwa kuhusisha kauli za kingono ngono ndo wanaona ni utangazajiMimi huwa naweka kwenye lugha ya kiingereza tu. Hawa waswahili wanafanya kwa kuiga, wanarudia rudia maneno, wanaingiza habari hazihusiani na mpira. Ya tafran tu
🤣Mpira unatolewa nje na Scars Original, huyu amesoma Kapumpuli Sekondari, alikuwa kiranja wa chakula na Captain wa kidato cha 3.