Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

Katafute mechi zenye watangazaji wanaotangaza jinsi wewe unataka.

Au utangaze wewe mwenyewe ili ujiridhishe. Hahahaaaaa......
Akili zako ndogo sana, nikatafute mechi za AFCON wapi? Labda wewe ni Nazareth.
 
Kwahiyo high IQ ni kushangaa mtangazaji kuchambua mechi na wachezaji wakati wa kutan gaza.

Kupitia utangazaji watu wanpata elimu ya mpira, sifa za wachezaji, historia na hata wakati mwingine tafsiri ya sheria 17 za mpira.

Gharib Mzinga ni mfano mzuri sana,akitangaza unapaata kujua mengi kuhusu wachezaji,timu na mechi kwa ujumla.

Karibu Mr High IQ.
Pengine hujanielewa ndio maana. Sikatai kuzungumzia ABC za mchezaji lakini too much is harmful and boring. Unaanza kuzungumzia maisha ya mchezaji halafu wakati huo kuna movement ya maana sana inafanyika uwanjani. Na muda mwingine unahama kabisa unaanza kupiga vijembe " " beki anamuambia mshambuliaji hupiti hapa hiki ni kisiki cha mpingo" yaani maneno ya mipasho na uswahili mwiiingi .
 
Back
Top Bottom