Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

Katafute mechi zenye watangazaji wanaotangaza jinsi wewe unataka.

Au utangaze wewe mwenyewe ili ujiridhishe. Hahahaaaaa......
Akili zako ndogo sana, nikatafute mechi za AFCON wapi? Labda wewe ni Nazareth.
 
Pengine hujanielewa ndio maana. Sikatai kuzungumzia ABC za mchezaji lakini too much is harmful and boring. Unaanza kuzungumzia maisha ya mchezaji halafu wakati huo kuna movement ya maana sana inafanyika uwanjani. Na muda mwingine unahama kabisa unaanza kupiga vijembe " " beki anamuambia mshambuliaji hupiti hapa hiki ni kisiki cha mpingo" yaani maneno ya mipasho na uswahili mwiiingi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…