TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
Dah, vifua vya watu vinaficha mambo mengi sana, kwahivyo asingefariki ungeendelea kupiga kimya?

Apumzike kwa amani..!
 

Kifo ni mawaidha tosha. Mwenyezi Mungu amujaalie kauli thabiti ndugu yetu. Ameeeen
 
Samadu Hasan hatunaye. Hata yule aliyekuwa anafanya nyimbo za kilingala pia.
Mungu wangu, Sasa kile kipindi Cha kilingala kinaendeshwa na Nani?? Mlingala kafa lini???
 
MC Hammer yupi tena. Mi namjua aliyeimbwa kwenye wimbo wa Young Thug wa Safe kwamba alifirisika. Au ndio zile wabongo kuwa na majina ya mastaa wa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…