King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu unataka kujilipua? Unaambiwa kwasasa yupo Dodoma! Kashakula Nyoka kibao wa Makumbusho!!Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.
Please iyo picha mkuu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.
mrangi King Kong III
Namkusudia member mwenze2 Iceman 3DSamadu Hasan hatunaye. Hata yule aliyekuwa anafanya nyimbo za kilingala pia.
Moja katika watangazaji bora star tv.
Homeboy RIP 😢😢😢😢Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Febr nyumbani kwake nchini Marekani.
Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi?
Mwendashaji wa kipindi hiki kwa sasa ni charles machugu, Ben huwa anacover tu gap jamaa asipokuwepo. Ila kwa kweli, hakuna aliyeweza kuvaa viatu vya msabaha. Walau ben yuko unique hana mambo ya kuiga swagga za ukongo.Kipindi alichokuwa anaendesha Zuberi Msabaha kwasasa anakiendesha Bernard James.
Yes ni kweli Charles Machugu ndio anakiendesha na mara nyingi nagumiana na Bernard James.Mwendashaji wa kipindi hiki kwa sasa ni charles machugu, Ben huwa anacover tu gap jamaa asipokuwepo. Ila kwa kweli, hakuna aliyeweza kuvaa viatu vya msabaha. Walau ben yuko unique hana mambo ya kuiga swagga za ukongo.
Hii Chadema hamtaishangilia kwa sababu kafia Marekani!Ni kifo cha ghafla au ni pneumonia?
Ukiongea na Watanzania wanaoishi USA utadhani wao wameshaishinda Covid na wako more worried about walio Bongo.Nani kakwambia kuwa hawafi kwa hilo tatizo!
Aisee! tamaa mbele mauti nyuma kijana......Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.
Please iyo picha mkuu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.
mrangi King Kong III
TV 1RIP Muhsin Mambo. Hivi alikwenda wapi baada ya Star TV? Tulicheza naye mziki sana Rumors Mwanza. Enzi zetu za ujana . Kabla ya Rumors kuvunjwa na kuacha mashimo
MC Hammer yupi tena. Mi namjua aliyeimbwa kwenye wimbo wa Young Thug wa Safe kwamba alifirisika. Au ndio zile wabongo kuwa na majina ya mastaa wa mbele
Ni vizuri ukamheshimu marehemu, huu sio muda wa kutoa taarifa mbovu ambazo ni tetesiInnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
nimecheka kama umrongea point kumbe pumbaaaKuna wamama wapo kwenye hizi taasisi kubwa za umma kazi zao ni kuwaunganisha vijana na umeme mkubwa wa taifa.